Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usitafute kwenda kula chakula cha bure,fanya kaziKesho matokeo Simba tunawapiga Yanga goli 3 na wao watapata goli moja ya utata.
Mwana Jangwani yeyote alete mwanasheria Simba wasipopata goli 3 au zaidi nifungwe jela miaka 5, Yanga wakijipapatua goli moja.
Mwana Yanga yoyote tusainishane
Limejificha kwenye kabati mkuu,ahadi zingine za kijinga sanaNaona kesho uwe active kwenye hili jukwaa