Simba tukifungwa nifungwe jela miaka 3

Huko Jela Ukiangusha sabuni usiokote. Nishukuru utapomaliza kifungo.
 
Kesho matokeo Simba tunawapiga Yanga goli 3 na wao watapata goli moja ya utata.

Mwana Jangwani yeyote alete mwanasheria Simba wasipopata goli 3 au zaidi nifungwe jela miaka 5, Yanga wakijipapatua goli moja.
Mwana Yanga yoyote tusainishane
Mkuu usitafute kwenda kula chakula cha bure,fanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…