Simba: Tuko mbioni kuilipa fedha Teungueth ya Senegal kwa ajili ya Sakho ili kujiepusha na kadhia ya kufungiwa kusajili

Simba: Tuko mbioni kuilipa fedha Teungueth ya Senegal kwa ajili ya Sakho ili kujiepusha na kadhia ya kufungiwa kusajili

Nataka kusema kuwa,je hiyo kesi ilianza kabla ya kutolewa hiyo fedha nusu? Na kama ilikuwa walipe hiyo fedha watakayo lipwa wao, kwa nini washindwe hili shauri? Kwa mujibu wa barua yao, sikuona kama walistahili kushindwa na kupewa adhabu. Wasiwasi wangu, hatujaambiwa ukweli .

Haiwezekani, hukumu itoke siku saba toka walipwe. Utajiuliza, walishtakiwa lini? Inawezekana walilipwa siku nyingi sio hiyo 2/10/2023
Mo hela yote kaiweka kwenye juice tusubiri arudishe faida

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Nataka kusema kuwa,je hiyo kesi ilianza kabla ya kutolewa hiyo fedha nusu? Na kama ilikuwa walipe hiyo fedha watakayo lipwa wao, kwa nini washindwe hili shauri? Kwa mujibu wa barua yao, sikuona kama walistahili kushindwa na kupewa adhabu. Wasiwasi wangu, hatujaambiwa ukweli .

Haiwezekani, hukumu itoke siku saba toka walipwe. Utajiuliza, walishtakiwa lini? Inawezekana walilipwa siku nyingi sio hiyo 2/10/2023
Simba full janja janja mkuu

Inawezekana kabisa hii barua ni siasa tu
 
Muda mfupi baada ya kutangazwa kwa uamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kuifungua Simba SC kusajili mpaka itakapolipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu Mchezaji Pape Ousmane Sakho, klabu ya
Dawa ya demi kulipa
 
Wajinga wanaendesha club kipuuzi sana

Sasa kama ulikua unajua kua inatakiwa kuwalipa Hawa wasenegal 15% ya mauzo, ulipopokea pesa ya kwanza kwanini ulikaa kimya...

Eti hapakua na mawasiliano

Pathetic excuse
Huyo ndio Jaribu Tena. Wakijua jamaa wamesahau. Isije ikawa walikula wakijua wasenegali wamesahau.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Na Kuna uwezokano walilipwa zote ila zikapelekwa kwenye mzungo wa pesa za mzamini
 
Wajinga wanaendesha club kipuuzi sana

Sasa kama ulikua unajua kua inatakiwa kuwalipa Hawa wasenegal 15% ya mauzo, ulipopokea pesa ya kwanza kwanini ulikaa kimya...

Eti hapakua na mawasiliano

Pathetic excuse
Wangewapa basi hata 7.7 %
 
Back
Top Bottom