Simba tulieni! Mipango mingi ya ushidni ilikuwa inafeli kwa sababu ya Barbara, sasa Yanga kukiona

Ila Simba Ina mashabiki jamani dah!

Yaani mtu anajikuta mchambuziiiiiiiii, anajiona bonge la analyst kumbe matapwata tupu!

Hapo ukute mleta uzi hata kadi ya uanachama Hana.

Unapima maendeleo ya Simba kwa kuifunga Yanga. We Bure kabisa wewe.

Wapenzi wa Simba mjifunze kuwa na subra. Kinachowaponza nyinyi ni ujuaji maandazi na shida viongozi wenu wanawasikiliza. Hivi hadi leo mnaweza Simama hadharani mkasema sababu genuine zilizofanya mkafukuza wale makocha kina uchebe walioifanya Simba ing'are? Yaani nyie Simba ikitoka sure moja kesho hamumtaki kocha hata kama kawabeba vipi!!

Barbra jiondokee sista angu kapumzike lawana. Waachie na ujuaji wao. Wanaojua mpira watakuheshimu daima
Mimi ni MwanaMsimbazi lakini katika hili najivua siko pamoja na mleta uzi
 
Nawaambia wale wanaosikitika kuondoka kwa Barba waache ujinga, huyo dada amesababisha miaka minne tushindwe kumfunga Yanga, kwa sababu akipewa mipango yeye anapuuza, anawaona watu wapigaji, wengi waliokuwa na mapenzi na Simba walikaa pembeni kwa sababu yake, Simba ilikuwa inatoa sare au kufungwa kwa sababu yake, Barbra ni mtendaji mzuri lkn ujuaji mwingi, amewakuta watu pale Simba alitakiwa ashirikiane nao ili kuleta mafanikio sio kuleta ubinafsi.

Maendeleo yalikuwa yanakwenda slow sana kwa sababu yake, Simba ni timu kubwa sana, yeyote atakaeondoka haiwezi kutuathiri, tunao watu pale wenye akili na mipango, huyo Mo Dewji kila siku anatujambisha, mara nataka kujitoa mara nn sijui, shenzi type, subirini ss muione Simba mpya bila Barbra, mpira utapigwa na hakuna wa kuizuia Simba tena.

Tuiunge mkono timu yetu, huyo Barbra atuachie timu yetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kama nakuelewa sana.Ninaamini utopolo wataadabishwa sasa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
binafsi yangu ningekuwa yule Medical Office huyo B nisingemuacha na mapenzi na kazi haviendani kimoja lazima kifeli.
 
Kuna namnamoja tu Simba anaweza kupata nafuu Kwa Yanga, Kumuondoa GSM kama Walivyo fanikiwa kumuondoa Manji kupitia Makonda.
Bila kuondoka GSM Simba ata waungane, wakusanyane, wajipange wataendelea kuteseka Kwa muda mrefu sana na vikombe wasahau kabisa.
Umeongea point sana wakeshe wakiomba ili makonda arudi Tena amuondos GSM kwa zengwe hio pona ya Simba

Simba miaka 4 inachukua kombe mfululizo ni kwa sababu makonda alihakikisha yanga haipati muwekezaji a.k.a sponsor
 
Nawaambia wale wanaosikitika kuondoka kwa Barba waache ujinga, huyo dada amesababisha miaka minne tushindwe kumfunga Yanga, kwa sababu akipewa mipango yeye anapuuza, anawaona watu wapigaji, wengi waliokuwa na mapenzi na Simba walikaa pembeni kwa sababu yake, Simba ilikuwa inatoa sare au kufungwa kwa sababu yake, Barbra ni mtendaji mzuri lkn ujuaji mwingi, amewakuta watu pale Simba alitakiwa ashirikiane nao ili kuleta mafanikio sio kuleta ubinafsi.

Maendeleo yalikuwa yanakwenda slow sana kwa sababu yake, Simba ni timu kubwa sana, yeyote atakaeondoka haiwezi kutuathiri, tunao watu pale wenye akili na mipango, huyo Mo Dewji kila siku anatujambisha, mara nataka kujitoa mara nn sijui, shenzi type, subirini ss muione Simba mpya bila Barbra, mpira utapigwa na hakuna wa kuizuia Simba tena.

Tuiunge mkono timu yetu, huyo Barbra atuachie timu yetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Uandishi hovyo kabisa...
Huu ndio upeo wa fan base ya tz..
Unapima maendeleo ya club kwa kwa kumfunga MTANI..???
 
Ila Simba Ina mashabiki jamani dah!

Yaani mtu anajikuta mchambuziiiiiiiii, anajiona bonge la analyst kumbe matapwata tupu!

Hapo ukute mleta uzi hata kadi ya uanachama Hana.

Unapima maendeleo ya Simba kwa kuifunga Yanga. We Bure kabisa wewe.

Wapenzi wa Simba mjifunze kuwa na subra. Kinachowaponza nyinyi ni ujuaji maandazi na shida viongozi wenu wanawasikiliza. Hivi hadi leo mnaweza Simama hadharani mkasema sababu genuine zilizofanya mkafukuza wale makocha kina uchebe walioifanya Simba ing'are? Yaani nyie Simba ikitoka sure moja kesho hamumtaki kocha hata kama kawabeba vipi!!

Barbra jiondokee sista angu kapumzike lawana. Waachie na ujuaji wao. Wanaojua mpira watakuheshimu daima
Mleta uzi ni YANGA ..
Hakuna kitu wanatamani kama hicho
 
Back
Top Bottom