Sasa je ,chubiri uone,tunayatwaa ndani na nje,😂Kwahyo huyo GSM ndo vikombe???
Mimi ni MwanaMsimbazi lakini katika hili najivua siko pamoja na mleta uziIla Simba Ina mashabiki jamani dah!
Yaani mtu anajikuta mchambuziiiiiiiii, anajiona bonge la analyst kumbe matapwata tupu!
Hapo ukute mleta uzi hata kadi ya uanachama Hana.
Unapima maendeleo ya Simba kwa kuifunga Yanga. We Bure kabisa wewe.
Wapenzi wa Simba mjifunze kuwa na subra. Kinachowaponza nyinyi ni ujuaji maandazi na shida viongozi wenu wanawasikiliza. Hivi hadi leo mnaweza Simama hadharani mkasema sababu genuine zilizofanya mkafukuza wale makocha kina uchebe walioifanya Simba ing'are? Yaani nyie Simba ikitoka sure moja kesho hamumtaki kocha hata kama kawabeba vipi!!
Barbra jiondokee sista angu kapumzike lawana. Waachie na ujuaji wao. Wanaojua mpira watakuheshimu daima
Kama nakuelewa sana.Ninaamini utopolo wataadabishwa sasaNawaambia wale wanaosikitika kuondoka kwa Barba waache ujinga, huyo dada amesababisha miaka minne tushindwe kumfunga Yanga, kwa sababu akipewa mipango yeye anapuuza, anawaona watu wapigaji, wengi waliokuwa na mapenzi na Simba walikaa pembeni kwa sababu yake, Simba ilikuwa inatoa sare au kufungwa kwa sababu yake, Barbra ni mtendaji mzuri lkn ujuaji mwingi, amewakuta watu pale Simba alitakiwa ashirikiane nao ili kuleta mafanikio sio kuleta ubinafsi.
Maendeleo yalikuwa yanakwenda slow sana kwa sababu yake, Simba ni timu kubwa sana, yeyote atakaeondoka haiwezi kutuathiri, tunao watu pale wenye akili na mipango, huyo Mo Dewji kila siku anatujambisha, mara nataka kujitoa mara nn sijui, shenzi type, subirini ss muione Simba mpya bila Barbra, mpira utapigwa na hakuna wa kuizuia Simba tena.
Tuiunge mkono timu yetu, huyo Barbra atuachie timu yetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mchukueni huko utopoloAaah wapi, mmepoteza mtu muhimu sana.
B ni mwanamke wa shoka aliondoa vibaraka na vichawa wa kijinga.
Nadiriki kusema aliondoa uswahili wa wazee walioitesa simba miaka nebda rudi.
Simba ilikaa kitaasisi sana.
Ombeni mpate mtu bora kama yeye.
Haya banaSasa je ,chubiri uone,tunayatwaa ndani na nje,😂
Tunapanga dau,simlimwona hana hana maana kwenu🚶Manara angerudi sasa maana anaiwezea sana simba
Niogope nini??? Simba nguvu moja hyo haitakaa ibadilike****mbona kama unaogopa
Kumbe mnampenda na mitusi yote ile alowatusi kipindi yupo.simba? HahahaahaahTunapanga dau,simlimwona hana hana maana kwenu🚶
Hakuna adui wa kudumu,😂Kumbe mnampenda na mitusi yote ile alowatusi kipindi yupo.simba? Hahahaahaah
Kweli nakubali mkuu 😀 😀 😀 😀Hakuna adui wa kudumu,😂
Umeongea point sana wakeshe wakiomba ili makonda arudi Tena amuondos GSM kwa zengwe hio pona ya SimbaKuna namnamoja tu Simba anaweza kupata nafuu Kwa Yanga, Kumuondoa GSM kama Walivyo fanikiwa kumuondoa Manji kupitia Makonda.
Bila kuondoka GSM Simba ata waungane, wakusanyane, wajipange wataendelea kuteseka Kwa muda mrefu sana na vikombe wasahau kabisa.
Uandishi hovyo kabisa...Nawaambia wale wanaosikitika kuondoka kwa Barba waache ujinga, huyo dada amesababisha miaka minne tushindwe kumfunga Yanga, kwa sababu akipewa mipango yeye anapuuza, anawaona watu wapigaji, wengi waliokuwa na mapenzi na Simba walikaa pembeni kwa sababu yake, Simba ilikuwa inatoa sare au kufungwa kwa sababu yake, Barbra ni mtendaji mzuri lkn ujuaji mwingi, amewakuta watu pale Simba alitakiwa ashirikiane nao ili kuleta mafanikio sio kuleta ubinafsi.
Maendeleo yalikuwa yanakwenda slow sana kwa sababu yake, Simba ni timu kubwa sana, yeyote atakaeondoka haiwezi kutuathiri, tunao watu pale wenye akili na mipango, huyo Mo Dewji kila siku anatujambisha, mara nataka kujitoa mara nn sijui, shenzi type, subirini ss muione Simba mpya bila Barbra, mpira utapigwa na hakuna wa kuizuia Simba tena.
Tuiunge mkono timu yetu, huyo Barbra atuachie timu yetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mleta uzi ni YANGA ..Ila Simba Ina mashabiki jamani dah!
Yaani mtu anajikuta mchambuziiiiiiiii, anajiona bonge la analyst kumbe matapwata tupu!
Hapo ukute mleta uzi hata kadi ya uanachama Hana.
Unapima maendeleo ya Simba kwa kuifunga Yanga. We Bure kabisa wewe.
Wapenzi wa Simba mjifunze kuwa na subra. Kinachowaponza nyinyi ni ujuaji maandazi na shida viongozi wenu wanawasikiliza. Hivi hadi leo mnaweza Simama hadharani mkasema sababu genuine zilizofanya mkafukuza wale makocha kina uchebe walioifanya Simba ing'are? Yaani nyie Simba ikitoka sure moja kesho hamumtaki kocha hata kama kawabeba vipi!!
Barbra jiondokee sista angu kapumzike lawana. Waachie na ujuaji wao. Wanaojua mpira watakuheshimu daima
Wasio kua na maana ndio hao wanasepa! Mo nae anaanza kupangusa matako aondokeTunapanga dau,simlimwona hana hana maana kwenu[emoji124]
Kwan ile Simba iliyompiga mwananchi 5 kwa Mkapa Barba ndio alikua CEO? simba taasisi kubwa watu watakuja na kuondoka lakini simba itabakia.Haya ni maneno ya kujifariji tu.
Huu ni wakati muafaka wa kumpa Baharesa timu!Kn mgogoro mkubwa wa ki maslahi unakuja hapo klabuni, uongozi mpya vs mwekezaji
“Mashabiki wa Simba walikuwa wanamuona Barbara kama Malikia Elizabeth”Mashabiki wa simba walikua wanamuona Babra kama Malkia Elizabeth 😂