Simba tulifika kibahati 16 Bora Africa

Jamaa anazani football ni netball.. mshamba kweli.
 
FACT..
 
Mkuu ligi yetu imegubikwa na mizengwe inayozitafuna timu zinazochukuwa ubingwa. timu zetu pia bado zinasajili wachezaji wanastahili kufanyiwa majaribio kwanza ndipo wasajiliwe, hii ni tofauti na ligi za wenzetu.
 
ngaja urudiane na soura huko kwao algeria ndio tutajua ulibahatisha au uliwafunga kwa uwezo...

mechi za marudiano ndizo zitaeleza kama simba ni kikosi kipana au kikosi chembamba

Soura hawawezi kuwafunga simba hata kwao,tatizo simba kwa hizo timu nyingine hawajajiamini wakapigwa wamesimama


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali kwenye mpira kuna bahati ila sio ya kutilia maanani kwamba bahati itakuvusha.
....Je Kuwafunga Js Soura napo tulibahatisha??..
.... Yote kwa Yote mpira hauendeshwi kwa bahati ndio maana watu wanaweka Pesa zao kwenye mpira sio bahati
Js Soura kufungwa sio ajabu ajabu itakuwa kufungwa 5-0 na kila timu
 
Mkuu ligi yetu imegubikwa na mizengwe inayozitafuna timu zinazochukuwa ubingwa. timu zetu pia bado zinasajili wachezaji wanastahili kufanyiwa majaribio kwanza ndipo wasajiliwe, hii ni tofauti na ligi za wenzetu.
Kweli ligi yetu mbovu... ila hata timu zetu zengwe tupu usajili.
kwa vipigo hv tujifunze soka sio segere.
 
Kweli ligi yetu mbovu... ila hata timu zetu zengwe tupu usajili.
kwa vipigo hv tujifunze soka sio segere.
Hivi ni mchezaji yupi pale Al-Ahaly akija leo Simba atahitaji kufanyiwa majaribio kwanza ili asajiliwe? Simba na Yanga wamejaza wachezaji wa kigeni waliofanyiwa majaribio kwanza ili waone uzuri wao kabla ya kusajiliwa
 
Simba haijabahatisha...sema falsafa za kocha ndio zinazotutesa,timu inakua inacheza open football bila kujua Aina gani ya timu inayokabililiana nayo na uwanja upi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hivyo mtafuteni Mourinho
Kwan Simba si ameshinda Nyumbani na atashinda nyumbani...mpira wa kiafrica hauna ujuaji Sana kivilee ndomana Kama unaangalia Final nyingi za klabu bingwa au shirikisho kila timu unakutana inashinda nyumbani ila zinapishana kwenye aggregate tuu....kwenye makundi Cha Kwanza tunaangalia points Cha pili ndio GD, Approach ya mwalimu ilikua kutafuta point moja ugenini iyo tumefeli ndomana tumefungwa magoli Yale,ila katika knock out stage hatuwezi kwenda ugenini kutafuta point moja Bali utaenda kuzuia upate goli la ugenini,ili uje ushinde nyumbani Sasa kwaio hii Approach ya mwalimu kwake inawezekana ilikua nzuri kwani Kama tungeshinda dhidi ya As Vita tulikua tunafuzu Bali hakujua nature la soka la Africa,kwa kuthibitisha ilo angalia Al ahly walivyocheza na Js saoura kule Algeria walikua wakawaida kweli na cheki js saoura walivyokua kwao jinsi walivyocheza pia utaona Al Ahly wakija kwa mchina wiki ijayo watakavyocheza kwa nidhamu hauwezi kuamini Kama ndio wale waliotupga khamsa...hata Simba walivyocheza na JS saoura waoiupiga Mpira mwingi sana,ila ugenini tunazurula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha waendelee kula viganja
 
GENTAMYCINE namuelewa sana hapo ni shabiki wa Simba kindakindaki ile anasemaga ukweli kabisa..
Huu sio wakati wa kufarijiana kwenye HAMNA..
 
Mkuu Barcelona akicheza na Fc Copenhagen unategemea atashinda goli mbili? Kwanini hatutaki kukubali Al Ahly na As Vita sio level zetu?!
 
Soura hawawezi kuwafunga simba hata kwao,tatizo simba kwa hizo timu nyingine hawajajiamini wakapigwa wamesimama


Sent using Jamii Forums mobile app
Timu kufungwa goli 5 ndani ya dakika 30 za mwanzoni mwa mchezo ni kuonyesha kuwa timu hiyo iko pahala ambapo sipo. Haikustahili kuingia hatua hiyo ya mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…