Simba tulifika kibahati 16 Bora Africa

hao kina mbabane, nkana.. wabahatishaji wenzako.. mziki huko huku wakata viuno na wala harua harua.. tunasubiri marudiano tuone kama una kikosi kipana au una kikosi chembamba
Hebu rudia tena kuandika
 
Brazil alipigwa 7-0 na Germany hawakusema bahati

Barcelona UEFA walipigwa 4 na Bayern wakaja kupigwa 3 hawakuona hawajui Mpira sio rede

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…