Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kwani gari jipya haliwezi kuzingua?Una uhakika nic jipya ? Ama ni vile limepigwa rangi ?
Tz kila mahali pana harufu ya utapeli
Haliwezi kuzingua kama second handKwani gari jipya haliwezi kuzingua?
Bastola ni chombo cha moto,kiberiti piaMkuu umewahi kumiliki chombo cha moto?
Ni kanuni ya kudumu au hisia zako tu?Haliwezi kuzingua kama second hand
Ila mashabiki 😄Misukule ya simba na Yanga inaingia virani kwny hii thread muda si mrefu
Chombo chakavu cha moto ni kawaidaNi kawaida kwa chombo cha moto
Wivu tuChombo chakavu cha moto ni kawaida
Hii ni yutong sio irizarBus la kifahari la simba aina ya Irizar limeharibika njiani wakielekea karatu kwenye uzinduzi wa jezi yao mpya
Uzuri walikuwa wamesafiri na fundi kabisa, kwani tangu mwanzo wa safari lilikuwa halitaki kuwaka, hadi lisukumwe.View attachment 3640852