Simba tumepigwa. Bus jipya la Simba (Irriza) limeharibika njiani.

Simba tumepigwa. Bus jipya la Simba (Irriza) limeharibika njiani.

Gari kuharibika siyo habari.
Mi nipo hapa Ilula gari ninalo safiria kwenda Njombe limeharibika.
Magari ni vyuma tu vilivyounganishwa na binadamu kuharibika siyo jambo geni.
Kama ni mpya inategemea imeharibikaje, gari mpya kabisa haiwezi ikawa na tatizo la ghafla tu kwenye ingini au gia boksi hilo halipo.

Haya mabasi na malori makubwa yanayotoka China ndio mara nyingi unakuta yana changamoto kibao japo ukweli ni kwamba unakuta yanaletwa huku yakiwa yameshatumika huko China lakini wanadanganya kwamba ni mapya wakati ni mitumba tu.

Sasa hilo la Simba inaonekana liko kwenye kundi hilo na wakati wa kuagiza aidha hawakujua wakapigwa au walifahamu ila waagizaji wakala ganji.
 
Kwanza hiyo sio Irizar jamani tujue kutofautisha
 
Back
Top Bottom