Simba tumepigwa. Bus jipya la Simba (Irriza) limeharibika njiani.

Mo kama injinia.mpaka Leo uwanja upo kwenye makaratasi
 
Mkuu Inasemekana Mtanzania ambaye alishawahi kuwa huko ni punda.
 
SIKUHIZI NILIACHA SANA KUJADILI MASUALA YA MPIRA,
Ila inapobidi nitatoa ufafanuzi.


1. Bujibuji heshima yako ni kubwa sana hapa Jukwaani na JF kwa Ujumla, Labda kama hujui ama umeamua kupotosha uma wa wana Jamii forum kwa makusudi, kitu ambacho binafsi siwezi kukubali.

2. Hilo bus linalovutwa ni Youtong ni Gari ya mzabuni kwaajili ya kusupply Jersey za simba.
Yani ni Gari la Joseph Rwegasira kwaajili ya kuuza jezi.

3. Hilo gari sio Irizar gali la simba
Kwaajili ya viongozi na wachezaji.

4. Yote ya yote Magari ya timu yanatakiwa kuwa salama no matter what.

" Uongo ukisemwa sana usipokanushwa hugeuzwa kuwa ukweli"
Mwalimu Jk Nyerere.
 
Nilichogundua mpaka sasa kuna tofauti kubwa kati bus aina ya IRIZAR na IRIZA.
 
Nimeipenda hii
 
Umepigwa miti eti hahahaha
Kwa taarifa hilo bus ni la jayrutty sio ile irizar ya simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…