babamzazi75
Member
- Jul 2, 2026
- 11
- 18
tumepigwa wewe kama wewe ulichangia shilingi ngapi??Bus la kifahari la simba aina ya Irizar limeharibika njiani wakielekea karatu kwenye uzinduzi wa jezi yao mpya
Uzuri walikuwa wamesafiri na fundi kabisa, kwani tangu mwanzo wa safari lilikuwa halitaki kuwaka, hadi lisukumwe.View attachment 3640852
Wengi hatujui tofauti ya thamani na bei. Mimi nimewekeza moyo wangu wotetumepigwa wewe kama wewe ulichangia shilingi ngapi??
😕😕Mkuu umewahi kumiliki chombo cha moto?
Kama ni mpya inategemea imeharibikaje, gari mpya kabisa haiwezi ikawa na tatizo la ghafla tu kwenye ingini au gia boksi hilo halipo.Gari kuharibika siyo habari.
Mi nipo hapa Ilula gari ninalo safiria kwenda Njombe limeharibika.
Magari ni vyuma tu vilivyounganishwa na binadamu kuharibika siyo jambo geni.
Sasa kama hajawahi kumiliki gari hayo anayajuaje?Kwani gari jipya haliwezi kuzingua?
Tumepigwa