kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Ni kweli hamjiamini na mna maumivu makali ni nyi Utopolo. Post ya kuonyesha wewe ni utopolo hii hapa:Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali
Mikia hamna makocha wa viungo
wewe mbelemwikonyumamwiko nani amekuambia~mtajijua wenyeweNi kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.
Tunashinda hatuna furaha inaumiza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi yeye ndio yule jamaa mwenye jezi nyeusi ya yanga.Sawa mcheza uchi fc
Wewe ni uto dam-dam! Hakuna simba wa hivyo!!Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.
Tunashinda hatuna furaha inaumiza
JF patamu sana.Ni kweli hamjiamini na mna maumivu makali ni nyi Utopolo. Post ya kuonyesha wewe ni utopolo hii hapa:
Unatilia shaka gani umeona wanaume wanapiga shoo ya kweli?Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
To yeye; naona mwaka mpya na mambo mapya.Yanga katika vazi la simba.Pole mkuu.Nasikia wamepiga week😎
Kesho saa 12 mtafurahi pale wananchi wakichomolewa mwiko mashamba ya miwa. Hawa jamaa mashambani wanabakwa kizembe sana. Kumbuka kule Mbalari Ihefu walibakwa mchana kweupeeeNi kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.
Tunashinda hatuna furaha inaumiza
Sio kutilia shaka tuLeo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Wewe ndiyo huna furaha, ndiyo maana umepata hadi muda wa kuandika huu ujinga.Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.
Tunashinda hatuna furaha inaumiza
Ilisababisha nianzishiwe Uzi wa malavidavi....siirudishi ileTo yeye; naona mwaka mpya na mambo mapya.
Naona avatar mpya mkuu. Ila ile ya mwanzo ilikuwa inavutia sana yale macho🤭🤭🤭