Simba tumeshinda ila hatuna furaha

Simba tumeshinda ila hatuna furaha

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yoyote mbaya ya Yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.

Tunashinda hatuna furaha inaumiza
 
Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.

Tunashinda hatuna furaha inaumiza
wewe mbelemwikonyumamwiko nani amekuambia~mtajijua wenyewe
 
Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.

Tunashinda hatuna furaha inaumiza
Wewe ni uto dam-dam! Hakuna simba wa hivyo!!
 
Ni kweli hamjiamini na mna maumivu makali ni nyi Utopolo. Post ya kuonyesha wewe ni utopolo hii hapa:
JF patamu sana.
Ukiwa mwongo msahaulifu watu wanakufukulia uharo wako.
Ona sasa anavyoumbuka kujinafikisha.

Subirini majibu ya barua yenu ya kuwataka Kipre Jr na Akamiko kutoka kwa mnaowakataa kununua bidhaa zao.
 
Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Unatilia shaka gani umeona wanaume wanapiga shoo ya kweli?

Halafu mliahidi 30M na imewalipa kumvunja Inonga!

Sijui anafuata nani.Ila naomba waamuzi wawe wanatoa adhabu kali kwa ujinga huu wa kulipwa pesa ili uumize wachezaji wenzio

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yanga katika vazi la simba.Pole mkuu.Nasikia wamepiga week😎
To yeye; naona mwaka mpya na mambo mapya.
Naona avatar mpya mkuu. Ila ile ya mwanzo ilikuwa inavutia sana yale macho🤭🤭🤭
 
Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.

Tunashinda hatuna furaha inaumiza
Kesho saa 12 mtafurahi pale wananchi wakichomolewa mwiko mashamba ya miwa. Hawa jamaa mashambani wanabakwa kizembe sana. Kumbuka kule Mbalari Ihefu walibakwa mchana kweupeee
 
Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Sio kutilia shaka tu

Ishu unatilia shaka ukiwa na hoja gani?

Mfano sisi mechi hii tumenyimwa penati 2 za wazi which means refa hakuwa upande wetu wala upande wa haki

Mazingira tatanishi kwenye mechi yetu hayakuwepo kiasi yamfanye mtu uanze kuchambua kuwa l"ile ni goli au sio goli ni offside tu"
 
Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.

Tunashinda hatuna furaha inaumiza
Wewe ndiyo huna furaha, ndiyo maana umepata hadi muda wa kuandika huu ujinga.
 
To yeye; naona mwaka mpya na mambo mapya.
Naona avatar mpya mkuu. Ila ile ya mwanzo ilikuwa inavutia sana yale macho🤭🤭🤭
Ilisababisha nianzishiwe Uzi wa malavidavi....siirudishi ile
 
Back
Top Bottom