SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe tu na Utopolo wako ndiyo huna furaha sisi tunajua tunachofanyaNi kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.
Tunashinda hatuna furaha inaumiza
Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Wasamehe tu bure. Maana hata mwenyekiti wao mstaafu, kitambo tu alishagundua wana tatizo sehemu.Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Idadi ya refa waliofungiwa kwa mechi za Yanga inatishaLeo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Bahasha hazina siri. Hao wachezaji na marefa hawaishi mbinguni, tupo nao mtaaniWatu huwa wanaangalia mpira na maigizo ya Yanga pia huwa wanajua,ubora wa Yanga unabebwa na bahasha hilo lipo wazi
Tuna mpira wa kivyetu vyetu wa kijinga saNNaLeo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.