Simba tumeshinda ila hatuna furaha

Simba tumeshinda ila hatuna furaha

Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yeyote mbaya ya yanga tunaruka kwa furaha iliyochanganyikana na hasira kali.

Tunashinda hatuna furaha inaumiza
Wewe tu na Utopolo wako ndiyo huna furaha sisi tunajua tunachofanya
 
Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.

Watu huwa wanaangalia mpira na maigizo ya Yanga pia huwa wanajua,ubora wa Yanga unabebwa na bahasha hilo lipo wazi
 
Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Wasamehe tu bure. Maana hata mwenyekiti wao mstaafu, kitambo tu alishagundua wana tatizo sehemu.
 
Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Idadi ya refa waliofungiwa kwa mechi za Yanga inatisha
 
Yanga ushindi wao una walakini sanaaa.kuna kitu nyuma ya pazia
 
Leo wao wameshinda goli 7 hakuna anayetilia shaka, Yanga akishinda goli 1 au 2 wanasema Bahasha imetumika. Mpira wetu unavituko vya kufurahiaha.
Tuna mpira wa kivyetu vyetu wa kijinga saNNa
 
Back
Top Bottom