kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Tukiitwa mipang'ang'a mbumbumbu ndunduka ngada fc tusiwe wakali kwa haya yanayoendelea.
Sasa hivi tunaparamia kila tawi ila yote yanateleza. Tumetoka kwa fei toto tumehamia kwa master K ilimradi kujipa ahueni ya mateso kutoka kwa yanga.
Na hili la K master napo tunaenda kuangukia pua. Tumeshindwa kujadili zile 30bn zilipo, manzoki kuja kwetu, mkataba kanjanja wa mbet wa zile 26bn. Sisi tukilala ni yanga tukiamka ni yanga.
Aliyetuita makolo hakukosea maana ni mtu anayekuwa na mambo mengi yasiyo na msingi. Tazama hata jezi tu utaelewa.
MO 20bn zetu zipo wapi?