Simba tumetoka kwa Fei tumeingia kwa Azizi Ki

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Tukiitwa mipang'ang'a mbumbumbu ndunduka ngada fc tusiwe wakali kwa haya yanayoendelea.

Sasa hivi tunaparamia kila tawi ila yote yanateleza. Tumetoka kwa fei toto tumehamia kwa master K ilimradi kujipa ahueni ya mateso kutoka kwa yanga.

Na hili la K master napo tunaenda kuangukia pua. Tumeshindwa kujadili zile 30bn zilipo, manzoki kuja kwetu, mkataba kanjanja wa mbet wa zile 26bn. Sisi tukilala ni yanga tukiamka ni yanga.

Aliyetuita makolo hakukosea maana ni mtu anayekuwa na mambo mengi yasiyo na msingi. Tazama hata jezi tu utaelewa.

MO 20bn zetu zipo wapi?
images%20(32).jpg
 
Kinachoniuma zaidi ni kiwaona vijana wengi wa kimasikini wasio na ELIMU wakiendelea KUBISHANA Simba na Yanga.

WATOTO wa Matajili wakipandishwa vyeo, au wakipandishwa ndege kwenda kusoma.

ENDELEA KUBISHANA SIMBA NA YANGA.

"Hakuna UMASIKINI MBAYA kama UMASIKINI WA Fikra''.
JK Nyerere.
 
Wewe ni genius
 
inasikitisha sana.
 
Kwani wewe upo kundi gani?

Kama ni masikini unafanya nini hapa?

Kama ni tajiri si ulipaswa kuwa kazini ulikopandishwa cheo au masomoni uliko lipiwa ada na mzazi wako?
 
Back
Top Bottom