kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Hao watu au mazombie?
Hao ni vyura wa utopoloniHao watu au mazombie?
Hao watu au mazombie
Mbon nmeona mazombieHao ni vyura wa utopoloni
Utakuwa na kengeza...Mbona hao ni Haji manara na wenzake...Hujamuona Manara hapo?Hao watu au mazombie
Mbon nmeona mazombie
π Sijaona emu onyeshaUtakuwa na kengeza...Mbona hao ni Haji manara na wenzake...Hujamuona Manara hapo?
Unateseka ukiwa wapiKinachoniuma zaidi ni kiwaona vijana wengi wa kimasikini wasio na ELIMU wakiendelea KUBISHANA Simba na Yanga...
Wa Kwanza kuruka ni Manara...wenzake ndo wakamfataπ Sijaona emu onyesha
Haya sawa mkuu πWa Kwanza kuruka ni Manara...wenzake ndo wakamfata
Wewe ni geniusKinachoniuma zaidi ni kiwaona vijana wengi wa kimasikini wasio na ELIMU wakiendelea KUBISHANA Simba na Yanga.
WATOTO wa Matajili wakipandishwa vyeo, au wakipandishwa ndege kwenda kusoma.
ENDELEA KUBISHANA SIMBA NA YANGA.
"Hakuna UMASIKINI MBAYA kama UMASIKINI WA Fikra''.
JK Nyerere.
inasikitisha sana.Kinachoniuma zaidi ni kiwaona vijana wengi wa kimasikini wasio na ELIMU wakiendelea KUBISHANA Simba na Yanga.
WATOTO wa Matajili wakipandishwa vyeo, au wakipandishwa ndege kwenda kusoma.
ENDELEA KUBISHANA SIMBA NA YANGA.
"Hakuna UMASIKINI MBAYA kama UMASIKINI WA Fikra''.
JK Nyerere.
Kinachoniuma zaidi ni kiwaona vijana wengi wa kimasikini wasio na ELIMU wakiendelea KUBISHANA Simba na Yanga.
WATOTO wa Matajili wakipandishwa vyeo, au wakipandishwa ndege kwenda kusoma.
ENDELEA KUBISHANA SIMBA NA YANGA.
"Hakuna UMASIKINI MBAYA kama UMASIKINI WA Fikra''.
JK Nyerere.