Simba tumeumizwa tena

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Hatukutegemea kama yanga ingeshinda hii game, matumaini yalikuwa makubwa kwa fei kupiga yale mashuti yake na kuwaprove wrong yanga. Lakini tulichoambulia ni kurembua tu uwanjani

Nimegadhabika sana kwa hili nikikumbuka tulivyoshabikia kwa nguvu nyingi kuondoka kwake lakini kimachotokea ni tofauti na matarajio yetu.

Kocha usipompanga phiri utuachie timu mapema
 
Kocha wa simba sijui kama atakula Christmas ya mwaka huu akiwa kocha wa simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]
 
Umeumizwa wewe sisi Simba anayekuja tunajipigia tu
 
Phiri hapangwi
 
Kuna mtu anaenda kuaibika leo, pale nyuma akisimama Onyango sijui mpite juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…