Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Siku zote mpira ni sayansi na sio propaganda Wala mipasho, bado Simba wanayo kazi ya ziada kuijenga timu yao!
Muunganiko na uwezo wa wachezaji waliosajiliwa bado ni mdogo sana, yule Joshua mutale anayesifiwa ni mchezaji machachari na sio mchezaji hatari. Hana tofauti na kisinda aliyekuwa yanga!
Simba kapata shida dhidi ya timu ya Rwanda ambayo ligi yao na uwezo wao uko chini ukilinganisha na ligi ya Tanzania but wametoka ulimi nje!
APR kaka nyuma ya mpira mda mwingi kitendo ambacho utokitegemea kikitokea mbele ya yanga!
Beki za Simba azijapata Kipimo chochote Cha maana kutoka kwa washambuliaji wa APR kitu ambacho kitakwenda kuwaletea dhahama TRH 8.
Ilikuwa ni halali timu yao kufichwa uko ilikokuwa kwakuwa walikuwa wanajua timu yao wangeionyesha wasingepata mashabiki uwanjani!
Kocha fadlu namshauri mbinu yake ya TRH 8 iwe ni kupaki bus vinginevyo akichukua matokeo yake dhidi ya APR ndio akaenda nayo KUPAMBANA na yanga atapewa anachostahili maana gamond ni mkatili sana!
NB: Hatuwatishi lakini mkiziba masikio cha moto mtakipata!