Simba Tumlipe mchezaji wa jkt kwa uzalendo wake kwetu

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana.

Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
 
Kabisa hamna namna nyingine zaidi ya kumuita mjengoni pale ukoloni na kumshukuru kwa kutusaidia maana bila hivyo basi jana tulifeli
 
Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana.

Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
Alipwe kwa upumbavu wake na nia ovu ya kumuumiza mchezaji wa Simba?Na yule aliyeshika mpira afanyweje?
 
Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana.

Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
Hakuwa na intention ya kufanya vile ndugu. Ukute hakutumia nguvu kiviile kumuatak mpinzani. Ila wachezaji wanacheat sana. Aliamua kujiangusha mazima kumdanganya refa ili awapee penalty.
Itakua inamuumiza sana hii kisaikolojia.
 
Mkuu, unateseka ukiwa waaapiiii?
 
Naunga mkono hoja. Kama vipi apewe mapema bahasha yake, ili na sikukuu nayo iwe nzuri kwake.
 
Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana.
Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
Si tumekubaliana kwamba sio penati halali? Sasa wanamlaumu mchezaji kwa kosa gani? Si wamlaumu refa?
 
Watamlaumu ila kibindoni anayo mshiko wa kutosha pamoja na refa na yule msaidizi wake.
 
Hakuwa na intention ya kufanya vile ndugu. Ukute hakutumia nguvu kiviile kumuatak mpinzani. Ila wachezaji wanacheat sana. Aliamua kujiangusha mazima kumdanganya refa ili awapee penalty.
Itakua inamuumiza sana hii kisaikolojia.
Naunga mkono hoja yako.
 
Nashukuru mmekuja kukiri kuwa ilikuwa penati halali. Halafu kuna yule aliunawa mpira na nadhani refa aliita penati kwa sababu yake na si huyu mnayemtuhumu
 
Hakuwa na intention ya kufanya vile ndugu. Ukute hakutumia nguvu kiviile kumuatak mpinzani. Ila wachezaji wanacheat sana. Aliamua kujiangusha mazima kumdanganya refa ili awapee penalty.
Itakua inamuumiza sana hii kisaikolojia.
International players ni wajanja, wana mbinu. Si mtaalamu wa mpira lakini naona mchezaji huyo alitumia mbinu kubwa kujizungusha na kuanguka, akijua refa na msaidizi wake concentration zilikuwa ulipo mpira.
 
Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana.

Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
Huyu kàfanya uzalendo kwa taifa, goli la mama wampe chake.
 
Vipi mpiga penalty hapewi maua yake? ujue upande wa pili bwana ake Hamisa alimpa kipa na mechi ikaishia hapo!🫢🫢🫢
 
Back
Top Bottom