Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Matangazo mengi wanakwambia yanalipiwa hela nyingi hafu wanashindwa kumsajili mchezaji wa milion 400 kwel?
 
Mimi nadhani ifike mahali muuamini uongozi wenu. Mnafikiri hauyaoni hayo? Kama sivyo hudhani kwamba wanajua nini kinaendelea na kwahivyo wanajua faida ipo?
Mwenyekiti wenu Mangungu yuko pale kuwakilisha upande wa wanachama, unafikiri ameruhusu hayo bila kujua kuwa kuna namna klabu inafaidika!?
Kwa mujibu wa katibakazi ya mwenyekiti ni kufungua na kufunga vikao Ila atakuwa ameelewa kwanini Kilomoni alikataa huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom