Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Tushaingia level ingine, MO tafadhali na bodi yako kaeni. Hatupaswi kuvaa jezii brand ambazo hazina jina hapa duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki vijora[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Tushaingia level ingine mo tafadhali na bodi yako kaeni. Hatupaswi kuvaa jezii brand ambazo hazina jina hapa duniani.
Acha kuwa na akili za kisukuma sio kila kitu lazima ufanye mwenyewe.Badala ya kuihimiza Simba itengeneze jezi zake hapa nchini ili iongeze kipato na kutoa ajira kwa watanzania wewe unawaza mambo ya aibu!!!
===
TUJITEGEMEE.
Ndo manake tupige uzi kama beyern, al ahly, Kaiser chiefs na nyingine nyingiHatutaki vijora[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 1710261
Acha ushamba wewe, dunia hii tunategemeana wewe unafikiri real Madrid anapovaa brand ya Adidas toka Germany ameshindwa kutengeneza brand yake? Tuondolee akili za ccm hapaBadala ya kuihimiza Simba itengeneze jezi zake hapa nchini ili iongeze kipato na kutoa ajira kwa watanzania wewe unawaza mambo ya aibu!!...
Halafu [emoji196][emoji196][emoji196] tuwape zawadi ya madelaNdo manake tupige uzi kama beyern, al ahly, Kaiser chiefs na nyingine nyingi
Wewe ndio umeongea la maana. Akina MO ni wafanyabiashara na wanatafuta faida. Kwahiyo wakipiga hesabu zao za ROI na hali halisi ya mtaani wanaona bora walete mafekelo na matambara ili tununue tufurahie na wao waingize faida. Hakuna mswahili wa kununua jezi ya laki tatu!wanaweza kutengeneza tatizo Watanzania wengi hatuwezi kununua hizo jezi ( ni bei ghali) na wao kama wawekezaji wapata hasara badala ya faida jambo ambalo hawapendi na linawakwaza kutowekeza!
Ni kweli Mkuu, mfano Jezi ya Mamelodi Sundowns inauzwa Takribani Laki 180,000 hadi 200,000/= TZS ni Watanzania wachache watakaoweza kununua hiyo jezi hivyo Mwekekezaji atakosa faida. Hizi za Yanga ni elfu 35,000 hadi 50,000 lakini bado Mashabiki wanalalamika kwamba ni bei ghali!Wewe ndio umeongea la maana. Akina MO ni wafanyabiashara na wanatafuta faida. Kwahiyo wakipiga hesabu zao za ROI na hali halisi ya mtaani wanaona bora walete mafekelo na matambara ili tununue tufurahie na wao waingize faida. Hakuna mswahili wa kununua jezi ya laki tatu!
Sisi uwezo wetu ni kati ya 5000 mpaka 20000. Zaidi ya hapo utatafuta wateja kwa darubini.Ni kweli Mkuu Mfano Jezi ya Mamelodi Sundowns inauzwa Takribani Laki 180,000 hadi 200,000/= TZS ni Watanzania wachache watakaoweza kununua hiyo jezi hivyo Mwekekezaji atakosa faida . Hizi za Yanga ni elfu 35,000 hadi 50,000 lakini bado Mashabiki wanalalamika kwamba ni bei ghali!
Bro unajua kuwa , hizo kampuni pia zinaweza kutengeneza jezi za qualty ya chini Ili kuendna na soko husika!?Ni kweli Mkuu Mfano Jezi ya Mamelodi Sundowns inauzwa Takribani Laki 180,000 hadi 200,000/= TZS ni Watanzania wachache watakaoweza kununua hiyo jezi hivyo Mwekekezaji atakosa faida . Hizi za Yanga ni elfu 35,000 hadi 50,000 lakini bado Mashabiki wanalalamika kwamba ni bei ghali!
Acha ushamba wewe .dunia hii tunategemeana wewe unafikiri real Madrid anapovaa brand ya Adidas toka Germany ameshindwa kutengeneza brand yake? Tuondolee akili za ccm hapa
Copy and paste bila tafakuli!!!Acha kuwa na akili za kisukuma sio kila kitu lazima ufanye mwenyewe
Leo hii spotpesa akianzisha mashindano timu zinacheza mpaka na timu za England
Sasa kama mzamini akiwa abood si utacheza na timu za moro
Hata tukifungwa ila uhakika wa kutinga robo fainali ni 99.4%Segere watachezewa Simba wakifika Misri si la dunia hii
😂😂😂😂Badala ya kuihimiza Simba itengeneze jezi zake hapa nchini ili iongeze kipato na kutoa ajira kwa watanzania wewe unawaza mambo ya aibu!!!
===
TUJITEGEMEE.