@magufuli karibu DarAcha kuwa na akili za kisukuma sio kila kitu lazima ufanye mwenyewe.
Leo hii spotpesa akianzisha mashindano timu zinacheza mpaka na timu za England.
Sasa kama mdhamini akiwa Abood si utacheza na timu za Moro.
Hili suala la ulinzi/udhibiti (Brand Protection) inatakiwa mamlaka za usajili wa chapa na vyombo vya sheria vitunge sheria ya kupambana na urudufu wa haki za wahusika.Niliwaza hivyo, jezi zitengenezwe kwa mdaraja ili kila mtu anunue kulingana na uwezo wake na anachokipenda, bei ya rejareja iwe kuanzia 20,000-300,000.
Ni vigumu kumpata mtengenezaji wa jezi kwasababu hakuna udhibiti/protection ya brand logo, watu wanajipritia tu jezi kiholela mfano sasa hivi zimejaa jezi mbovu za visit tanzania madukani tena mpaka mikoani
Ili kuhakikisha timu inapata faida kwanza ni lazima tuondoe
jezi zisizotoka kwenye mfumo rasmi wa club (za kichina) na ukikutwa unauza jezi isiyo rasmi ni kesi ya kutumia logo pasipo na ruhusa ya club.
Tuanzishe mfumo na ku identify and certify mawakala wa kuuza products za simba kila wilaya, mkoa nk mfano wa kuigwa ni mwanza ambapo mashabiki wa simba walifungua duka la kuuza bidhaa official za simba pale kirumba stadium. Mfumo huu utawafaidisha club pamoja na mashabiki kiuchumi na hata matawi yashiriki kuuza bidhaa official za simba
Naungana na wewe mkuu, hawa uhlsport jezi zao sizielewi kabisa.Tushaingia level ingine, MO tafadhali na bodi yako kaeni. Hatupaswi kuvaa jezii brand ambazo hazina jina hapa duniani.
Asante, nimekuelewaHicho kitu kwa Sasa sioni kikitekelezeka kwa sababu zifuatazo.
1) Wakati wa magori akiwa ceo, hao umbro walikuja na dili la kwamba tuwe tunanunua jezi kwao kwa mkataba wa kwanzA..Kisha Simba waje waziuze wenyewe wakati wao wakimonitor uuzwaji wa jezi na soko, Ili mkataba wa pili waone wanaingia dili la aina Gani Kati ya kuwapa simba pesa Kisha wao wauze jezi ama waendelee na kuwauzia simba..dili hilo likafa kwa sababu Simba haikuwa tayari kutoa pesa ..( kumbuka huu ndio mfumo wa kampuni zote hapo ulizotaja zinapotaka kuingia mkataba na timu ndogo na timu za Kati katika soko la Dunia na kikanda)
2) Sababu ya pili ni kwamba mwenye tenda ya jezi za Simba kwa Sasa pia ni mkurugenzi wa bodi ya klabu, ndugu Kassim Dewji upande wa mwekezaji, so utaona ni kwa namna Gani ni ngumu yeye kuacha dili hilo, kwani kwa jinsi ilivyo yeye ni wakala wa kampuni ya uhlsports kwa Tanzania na pengine hatuwezi jua inawezekana kala dili kwa niaba ya simba Kisha akija huku anasema yeye ni msambazaji na wakala.
3) Kwa kuzingatia hoja ya kwanza, ambapo Simba haipo tayari kutoa pesa kununua jezi za hayo makampuni kwa kipindi hiki na wao wangetaka kulipwa (kwa mujibu wa magori kipindi Simba wanasign mkataba na uhlsports ) Romario LTD (Kassim Dewji) ambao ndio wasambazaji wa Uhlsports wanaipa simba pesa Kama sehemu ya udhamini , kwa mujibu wa watu wa ndani Kassim anawpaa Simba tsh 2500 - 3000 kwa kila jezi inayouzwa.
So kumalizia kwa mujibu wa hoja hizo tatu..haswa ukizingatia hoja ya pili ambapo ndani yake Kuna kaundugu ni kwamba usijeukatarajia Simba Sc itavaa jezi zingine nnje ya hizo ambazo wanavaa hivi Sasa. Ukiona wamebadilisha ujue Romarioa kaachana na Uhlsports kaamia kwa watengenezaji wengine wa jezi
Timu inapata mapato makubwa kwa sasa.mo anaangalia faida tuu percent ndogo sana anapeleka kwa uwekezaji wa timu.kwenye uwanja na Jersey mimi Niko hapoNaungana na wewe mkuu, hawa uhlsport jezi zao sizielewi kabisa.