Kwanza kabisa tunashukuru Mgunda Mnene kutufikisha hapa tulipo pamoja na mapungufu yake ya kimbinu mpaka akapata hizi droo nne ambazo zimetuweka mbali na watani zetu.
Ili tukimbizane na mbio za Ubingwa plus CAF CL tufike mbali, tunahitaji wachezaji watatu bora kabisa.
Pia siku moja nilikuwa na kocha wa Kyombo Mbeya, kwanza amesema Kyombo ni wakaiwada mno kucheza Simba na aliwahi kuwashauri viongozi wa Simba hawakuelewa.
Ondoa Mkude, Nyoni, Kibu Denis, Bocco ametosha, Mwanuke uza, toa Akpan hii ilikuwa panic buy tu hana uwezo wa kuchezea Simba kabisa. Ikiwezekana tupate namba upande wa Tshabalala atakayesaidia pia.
Viongozi naomba mpite hapa.
Tuache zile panic buy, kuna wachezaji hawana sifa ya kuwa Simba kama Kibu Denis, Kyombo, Akpan, Nyoni na Mkude. Hawana uwezo, kwa sasa ni wa kawaida sana!

- Tupate Striker mzoefu mzuri mwenye power na anaijua Afrika. Tusiwe na panic buy.
- Tupate mbadala wa Chama kama kukabiliana na endapo Chama hayupo au majeruhi, lakini pia Chama anazeeka.
- Tupate Kiungo mkabaji mzuri ambaye atasaidiana na Kanoute endapo Kanoute hayupo, maana kukosekana kwa Kanoute tumekuwa tukipoteza alama mfano mechi ya Mbeya CIty na Singida Big Star.