Simba tunakosa uhondo ligi hainogi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Ligi imeisha simba wamechukua ubingwa kwa points 16.

Simba hawastahili kuchezea hii ligi, angalia kwenye msimamo waliofuatana walikuwa wanapambana nafasi ya pili na kupishana kwa kwa points ndogo, yaani simba na wengine ni kama mbigu na ardhi.

Angalieni wenzetu Zambia leo hata mtu nne anaweza kuchukua ubingwa na wanamaliza ligi.

Kuna wenzetu wamefumua timu nzima msimu ujao unaweza kwisha hata wachezaji wao hawajuani majina,hii inakosesha uhondo wa ligi kwani hao wengine wanacheza ligi ipi?

Lawama zao tunabebwa ,mnatutia aibu sana wadau wa soka safi
 
Simba amebebwa uwanja wa taifa karibu mechi sita ivi amuon aibu kujisifia upuuzi, wenye akili wame kaa kimya wanawaangalia ila mda si mrefu uko kwenye mashindano ya Afrika mtarudi na kilio cha goli tano tano.
 
Simba amebebwa uwanja wa taifa karibu mechi sita ivi amuon aibu kujisifia upuuzi, wenye akili wame kaa kimya wanawaangalia ila mda si mrefu uko kwenye mashindano ya Afrika mtarudi na kilio cha goli tano tano.

Kocha wenu hakukosea kuwaita Nyani
 
Bingwa alipangwa na tifutifu iliyojaa mikia fc.
 
Kubebwa ubebwe ww simba na kubweka mnabweka nyie wenyewe, team km Liverpool imebeba ubingwa kwa point different kubwa na bado wanaamin msimu ujao watakuwa na changamoto kubwa lakin ww uliye pewa ubingwa kwa mbeleko unaanza kuvimba kichwa... Duuuuu nyie wanyama amkeni mjue kuwa bila mbeleko za kukariwa na warasi karia nyie ni paka tuu
 
Kocha wenu hakukosea kuwaita Nyani [emoji3][emoji3]
 
Tuliokuwa tunafuatilia ligi ya TZ mwanzo mwisho bila mahaba ya ushabiki, tuligundua kuwa ukipitisha mechi za simba kwenye VAR, basi itabaki na points za kucheza PLAY OFF tu.
Kilichowasidia ni kuwekeza sana kwenye mbinu za timu za kiarabu.

Lakini ukiangalia kwa makini statistics za simba na yanga ktk ligi bila jicho la ushabiki, utagundua simba alipoteza mechi 4 na yanga alipoteza mechi 4. Sioni mantiki ya kuibeza Yanga wakati wote mmepoteza idadi sawa ya mechi. Kama ni Utopolo basi wote ni utopolo kwa kupoteza mechi dhidi ya underdogs.

Kilichoiangusha yanga ni idadi kubwa ya sare (15 against 7 za simba). Na hizi sare, nyingi zimechangiwa na simba kucheza mechi za yanga.

Kwa maneno mengine, simba alikuwa anacheza mechi zake na zile za yanga.
 
Zitaje hizo mechi..
Kuna timu zimezoea kulialia aseee.
Hivi aliyefungwa goli refa akasema Kona ni simba?
Dhulma dhidi ya kagera FA ni simba?
Na matukio kibao kama hayo.
 
Simba amebebwa uwanja wa taifa karibu mechi sita ivi amuon aibu kujisifia upuuzi, wenye akili wame kaa kimya wanawaangalia ila mda si mrefu uko kwenye mashindano ya Afrika mtarudi na kilio cha goli tano tano.
Manyani fc[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Zitaje hizo mechi..
Kuna timu zimezoea kulialia aseee.
Hivi aliyefungwa goli refa akasema Kona ni simba?
Dhulma dhidi ya kagera FA ni simba?
Na matukio kibao kama hayo.
Usihangaike na manyani fc, wanateswa na laana ya Yusuf Manji, utopolo fc!
 
Lakini cha ajabu yanga anafumua kikosi chotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…