Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Ligi imeisha simba wamechukua ubingwa kwa points 16.
Simba hawastahili kuchezea hii ligi, angalia kwenye msimamo waliofuatana walikuwa wanapambana nafasi ya pili na kupishana kwa kwa points ndogo, yaani simba na wengine ni kama mbigu na ardhi.
Angalieni wenzetu Zambia leo hata mtu nne anaweza kuchukua ubingwa na wanamaliza ligi.
Kuna wenzetu wamefumua timu nzima msimu ujao unaweza kwisha hata wachezaji wao hawajuani majina,hii inakosesha uhondo wa ligi kwani hao wengine wanacheza ligi ipi?
Lawama zao tunabebwa ,mnatutia aibu sana wadau wa soka safi