mpolekabisa
Senior Member
- Oct 18, 2023
- 161
- 225
Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja!
Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na tunaendelea mbele!
Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na tunaendelea mbele!