mpolekabisa
Senior Member
- Oct 18, 2023
- 161
- 225
DJ walete.Nitakuaja na list ya wachezaji wa kuachwa
Na viongozi wa kung'atuka bila hivyo simba itaendelea kuwa mlenda
Wewe kama nani?Nitakuaja na list ya wachezaji wa kuachwa
Na viongozi wa kung'atuka bila hivyo simba itaendelea kuwa mlenda
Msamehe mkuu Tano nyingi sana,amevurugwa13/4/2023???
Mnara hausomi mkuu, msamehePole mkuu hii trhe mbona imepita
Ukitaka kujua goli 5 ni nyingi zigeuze ziwe chapati😂😂😂Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja!
Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na tunaendelea mbele!