Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, sisi wanyama wenzako hii dua yako hatuitaki, hapa tulipo hatupati usingizi tunawazia balaa la pale Casablanca. Kheri kukutana na Esperance ila hawa Brazilians wa bondeni hapana hawana huruma wanaweza kutupiga hata 8. Tuweke ushabiki pembeni, timu letu mwaka huu ni ya kawaida.
Kwaiyo timu yako unailinganisha kabisa na mamelod? Unaona timu yako inao ubora wa kupimana ubavu na mamelod? Ata kama mamelod anaishia robo fainali usipende kulinganisha vitu kwa kukaririshwa, mpira unachezwa hadharani na sio vichakani, Mamelod tumewaona na Simba tumewaona bado simba aijafikia hata robo ya ubora walionao Mamelod kwa sasa, Unapoziweka izo timu 2 kwenye kapu moja la ushindani utakuwa unauvunjia heshima mpira, Ebu tuache ushabiki maandazi wa kuaminishwa vitu ambavyo unajua kabisa ni ngumu kutokea, Timu mbovu tu ya vipers imekutoa kamasi sembuse Mamelodi? Kama ni stori za kwenye kahawa ili muda uende na kufurahisha genge nitakubaliana na wewe but kiuhalisia ni ngumuKwenye hatua za mtoano. Ni afadhali ucheze na Mamelodi kuliko kucheza na hao waarabu kina Esperence.
Mamelodi hana makali kwenye mtoano.
Kwanza CV ya mamelodi haitishi.
Ubingwa wa Africa amewahi kuubeba mara moja tu mwaka 2016 tena kwa kupewa ushindi wa mezani kwenye mtoano.
Na hata huo ubingwa wa 2016 mamelodi aliupata kwa bahati maana mamelodi alikuwa ameshatolewa mashindanoni na As Vita,, mamelodi alipewa ushindi wa mezani sababu As vita ilimchezesha mchezaji ambaye alikuwa hajamaliza adhabu yake.
Mamelodi mwisho wake unakuwaga robo fainali.
Sasa nenda kacheki CV za kina Esperence uone balaa lao.
Timu kubwa za Waarabu kwenye mtoano huwa ni hatarii sanaaa
Mamelodi mwenyewe anawaogopa waarabu kwenye mtoano.
Wa Tanzania huwa wanamkuza sana mamelodi kama timu hatari Africa.
Huku Mamelodi hamfikii hata Enyimba ama Mazembe kwa CV
Kwaiyo timu yako unailinganisha kabisa na mamelod? Unaona timu yako inao ubora wa kupimana ubavu na mamelod? Ata kama mamelod anaishia robo fainali usipende kulinganisha vitu kwa kukaririshwa, mpira unachezwa hadharani na sio vichakani, Mamelod tumewaona na Simba tumewaona bado simba aijafikia hata robo ya ubora walionao Mamelod kwa sasa, Unapoziweka izo timu 2 kwenye kapu moja la ushindani utakuwa unauvunjia heshima mpira, Ebu tuache ushabiki maandazi wa kuaminishwa vitu ambavyo unajua kabisa ni ngumu kutokea, Timu mbovu tu ya vipers imekutoa kamasi sembuse Mamelodi? Kama ni stori za kwenye kahawa ili muda uende na kufurahisha genge nitakubaliana na wewe but kiuhalisia ni ngumu
Kwa nini hawakuipiga kama ngoma Al Hilal au mbona hawakuipiga Petro Atletico last season wakaishia robo fainali?Ebwana watatubonda kamaa ngoma labda ile simba ya Miquisson kule chama huku Tshabalala kule Ontango Mido ndo hatunaga sasa ukaweke SAWADOGO, mido Saido winga beki Inonga anavyopenda kukaba ovyo kama Casemiro lazima apate Umeme aisee narudia tena weka Ushabiki pembeni WATATUPIGA KAMA NGOMAA
Lakini ndiyo timu iliyopossess ball zaidi imezidiwa na Mamelod na Raja tuNdugu, sisi wanyama wenzako hii dua yako hatuitaki, hapa tulipo hatupati usingizi tunawazia balaa la pale Casablanca. Kheri kukutana na Esperance ila hawa Brazilians wa bondeni hapana hawana huruma wanaweza kutupiga hata 8. Tuweke ushabiki pembeni, timu letu mwaka huu ni ya kawaida.
Hiyo mamelod imechukua CAFCL mara 10 hadi iwe sio level zetu?Kwaiyo timu yako unailinganisha kabisa na mamelod? Unaona timu yako inao ubora wa kupimana ubavu na mamelod? Ata kama mamelod anaishia robo fainali usipende kulinganisha vitu kwa kukaririshwa, mpira unachezwa hadharani na sio vichakani, Mamelod tumewaona na Simba tumewaona bado simba aijafikia hata robo ya ubora walionao Mamelod kwa sasa, Unapoziweka izo timu 2 kwenye kapu moja la ushindani utakuwa unauvunjia heshima mpira, Ebu tuache ushabiki maandazi wa kuaminishwa vitu ambavyo unajua kabisa ni ngumu kutokea, Timu mbovu tu ya vipers imekutoa kamasi sembuse Mamelodi? Kama ni stori za kwenye kahawa ili muda uende na kufurahisha genge nitakubaliana na wewe but kiuhalisia ni ngumu
Hiyo mamelod imechukua CAFCL mara 10 hadi iwe sio level zetu?
Petro alimchapa 3 last season Je, Petro ilikuwa bora sana kuliko Mamelod? Ishu ni strategies tu zikitiki huo ubora wa timu unaweza kudhibitiwa tu nothing impossible
Afu huwezi kushinda CAFCL huku unaogopa kukutana na timu zilizoko huko.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mamemolody imeweka record ya kuwafunga mahasimu wake wote wawili nje ndani kwenye ligi kuu nyie simba Azam tu kawashinda[emoji38]Hawa ni ndugu zao kaizer chiefs tuliwanyuka bila huruma hapa estadio lupaso kwa mkapa!View attachment 2548046
Weupe wao ni nini mweupe ni Marcelo alliende tuUliangalia ile mechi na al Ahly mkuu? Mamelodi weupe kwa simba.
Na simba je CV yako ikojeKwenye hatua za mtoano. Ni afadhali ucheze na Mamelodi kuliko kucheza na hao waarabu kina Esperence.
Mamelodi hana makali kwenye mtoano.
Kwanza CV ya mamelodi haitishi.
Ubingwa wa Africa amewahi kuubeba mara moja tu mwaka 2016 tena kwa kupewa ushindi wa mezani kwenye mtoano.
Na hata huo ubingwa wa 2016 mamelodi aliupata kwa bahati maana mamelodi alikuwa ameshatolewa mashindanoni na As Vita,, mamelodi alipewa ushindi wa mezani sababu As vita ilimchezesha mchezaji ambaye alikuwa hajamaliza adhabu yake.
Mamelodi mwisho wake unakuwaga robo fainali.
Sasa nenda kacheki CV za kina Esperence uone balaa lao.
Timu kubwa za Waarabu kwenye mtoano huwa ni hatarii sanaaa
Mamelodi mwenyewe anawaogopa waarabu kwenye mtoano.
Wa Tanzania huwa wanamkuza sana mamelodi kama timu hatari Africa.
Huku Mamelodi hamfikii hata Enyimba ama Mazembe kwa CV
Na simba je CV yako ikoje
Ziunganishe enyimba na mazembe zikacheze na masandawana uone kama zitatoboa
Na simba je CV yako ikoje
Ziunganishe enyimba na mazembe zikacheze na masandawana uone kama zitatoboa
Huko CAIRO mbona hawakushinda na ni usiku walicheza na refa wao alikuwaWaliwachezesha kwenye jua kali wakijua fika Ahly au waarabu kwenye jua kali sio wazuri, ndio maana ulimuona Percy ndio alikuwa ana perform sana.
Cairo walisale 2 kwa mbili al ahaly akibebwa mnoWaliwachezesha kwenye jua kali wakijua fika Ahly au waarabu kwenye jua kali sio wazuri, ndio maana ulimuona Percy ndio alikuwa ana perform sana.
Mpira ungekuwa ni CV hao tp Mazembe ulowasema wangekuwa klabu bingwa sahv wanaongoza kundi, Ila mpira haupo hivo kiongozi sometimes kunakuwa na ups and downs nyingi tu na kila msimu huwa na uspecial wake tusikaririKwenye hatua za mtoano. Ni afadhali ucheze na Mamelodi kuliko kucheza na hao waarabu kina Esperence.