Mpira ungekuwa ni CV hao tp Mazembe ulowasema wangekuwa klabu bingwa sahv wanaongoza kundi, Ila mpira haupo hivo kiongozi sometimes kunakuwa na ups and downs nyingi tu na kila msimu huwa na uspecial wake tusikariri
Umesema ukweli
Hio ndio sababu ya mimi kuleta hoja.. maana mamelodi amepewa u special sana. Soma sifa anazopewa mamelodi humu huku kuna timu kibao zinafanya vizuri kuliko yeye