Simba tunashinda Morocco

Nje ya Mada kidogo

Kama vile yanga wanavyoipigia mahesabu medeama basi na Medeama ndo wanavyoipigia mahesabu Yanga. Pia tukumbushane Yanga ndo ameonekana ni Kivuko huru kwa wanaotaka kufika ng'ambo.
 
Nje ya Mada kidogo

Kama vile yanga wanavyoipigia mahesabu medeama basi na Medeama ndo wanavyoipigia mahesabu Yanga. Pia tukumbushane Yanga ndo ameonekana ni Kivuko huru kwa wanaotaka kufika ng'ambo.
Mkuu hii mechi wanamdharau tu Medeama lakini hata ukiangalia bookong/odds kwenye mitandao Medeama kapewa 1.80 na Yanga 4.50. kwa maana hiyo ni kama kuna dalili Medeama ni mzuri kuliko Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili hizi utakuwa mwana ccm wewe
 
Ongela kwa kutumia ndumku
 
Simba mnalazimisha sana. Yanga akipita makundi sijui mtatafuta kisingizio gani kingine.
Hofu ya wanasimba ni Yanga kuwapita kimafanikio kimataifa

Hofu yao ni je Yanga akifika nusu fainali wataziweka wapi sura zao
 
Hofu ya wanasimba ni Yanga kuwapita kimafanikio kimataifa

Hofu yao ni je Yanga akifika nusu fainali wataziweka wapi sura zao
Hapa nyumbani washachemka kile kichapo cha goli 5 kiliwafungua macho kuona tofauti ya ubora kati yao na mpinzani wao, sasa hivi wanaokoteza visababu tu kulazimisha furaha. Hivi unapata wapi jeuri ya kumponda aliekupiga goli 5, unapata wapi jeuri ya kumponda anaecheza mpira mzuri kuliko wewe?
 
Mnashinda njaa
 
Sawa na kusema mgonjwa wa ukimwi atapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…