Simba tunawasubili mzindue na za kiume hizi mlizozindua mbona ni za kike tu

Simba tunawasubili mzindue na za kiume hizi mlizozindua mbona ni za kike tu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU


Asanten sana

LONDON BOY
 
Pale hamna kila kitu

Mimi ni mwanasimba lakini msimu huu nitavaa tu za msimu Jana hapo hamna jezi siwezi kutupa hela yangu ninunue hayo madubwasha
 
Wamewakosea sana wana simba
Pale simba Kuna kitu hakipo sawa inawezekanaje jezi hazijazinduliwa na tayari ziko mtaani

Inavyoonekana Kuna uwezekano mle Simba Kuna wasaliti wengi mno kwa sababu haiwezekani jezi zivuje hivi hivi
 
Back
Top Bottom