Wanapambana saana walau waipate hiyo droo dhidi ya Asec, wakipigwa tena na Asec ni kilio kingine kizito.Nawaza tu hapa!! Hivi ikitokea wakafungwa, au kutoa sare na Asec Mimosa hiyo tarehe 25!! Ni nani mwingine atatolewa sadaka?
Ni Mangungu, au Bodi yote ya timu itawajibika?
Huo ndo ukweli.manula alilazimisha kudaka yeye na alitishia kuvunja mkataba kama asingepangwa.Acha kujifariji na lawama za kishabiki hata angedaka De Gea khamsa zingemhusu, Max Nzegeli ni level ingine bro! Kubali tu Yanga Makolokwinyo hamuiwezi! Msiwaangushie jumba bovu wachezaji shida ya Simba ni uongozi kubana pesa za usajili!
Manula Hana Kosa lolote timu nzima ilishindwa Mzee baba , kwani we uliangalia mechi ukiwa wapi? Hakuna goli ambalo ni Kosa la Manula , beki inavuja ulitegemea Nini kama si kugeuzwa asusa kama JKT na Kmc, furahia tu mabango ya 5G tu unune vizuri mtani!
5G itawauma miaka mingi na Bado inakuja wiki (7-0) Ili mjinyonge kabisa!!
Kwani si walishatatua mambo yao baada ya kumfukuza kochaKama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi.
Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe.
Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
Sasa Kapombe kama kachoka kwanini awe hapo kama siyo kosa la uongozi kukaa na wazeeKwahiyo kapombe alivochoka kiongozi anahusika pale!!?
Mbona ameipa simba jina kubwa sana enzi zake na wengine wooote wanaomfuata kwenye uchokevu wake!!!!??
Jifunze kuheshimu watu.