Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Tupe matokeo ya Yanga
Kwa taarifa yako ni kuwa ni timu chache sana ambazo ni timu kubwa na zina kikosi bora cha timu za vijana. Timu hizi mara nyingi huwekeza nguvu kwenye kununua wachezaji wanaopikwa na timu za kati au timu ndogo. Ndo maana hapa bongo timu nzuri za vijana unazipata mtibwa, moro united wakati huo au azam kwa sasa lkn si simba na yanga.Mateso yanaendelea kwa sisi wana Msimbazi. Mpira unaochezwa na hii Simba U-20 ni kichefuchefu. Benchi la ufundi la timu hii pia liangaliwe. Timu ni Mbovu sana. Haijui kila kitu uwanjani. Wanarukaruka tu.
Salam ziwafikie
Nimekuelewa vema kabisa. Sikuwa na idea hii before. Lakini hata hivyo bado tuna kazi kubwa sana. Watoto wa kileo pamoja na kuwa na mazingira mazuri ya kujifunza mpira, vipaji vyao ni haba sana. Mchezaji anakimbia bila kushirikisha macho yake, hakuna maamuzi ya haraka ya kujua ni afanye kwa wakati gani. TBTKwa taarifa yako ni kuwa ni timu chache sana ambazo ni timu kubwa na zina kikosi bora cha timu za vijana. Timu hizi mara nyingi huwekeza nguvu kwenye kununua wachezaji wanaopikwa na timu za kati au timu ndogo. Ndo maana hapa bongo timu nzuri za vijana unazipata mtibwa, moro united wakati huo au azam kwa sasa lkn si simba na yanga.
Nasikia kocha kampanga mwanae km zidaneMateso yanaendelea kwa sisi wana Msimbazi. Mpira unaochezwa na hii Simba U-20 ni kichefuchefu. Benchi la ufundi la timu hii pia liangaliwe. Timu ni Mbovu sana. Haijui kila kitu uwanjani. Wanarukaruka tu.
Salam ziwafikie