GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Anacheza namba ngapi?Malinzi ndy kikwazo namba moja kwenye ubingwa wa simba....ila wana simba tunasema MBELE...NYUMA kote ni KUGEGEDWA tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anacheza namba ngapi?Malinzi ndy kikwazo namba moja kwenye ubingwa wa simba....ila wana simba tunasema MBELE...NYUMA kote ni KUGEGEDWA tu..
HahaaaaaSerengeti Boys walipitishwa mezani sio uwanjani..... wacha maneno tupeni point zetu
Upande wa refa na figisu za ndn na nje ya uwanjaAnacheza namba ngapi?
ivi ni kweli? alikuwa na kadi tatu??Simba mnatia aibu kwakwel baña kwa hiyo hizo kadi tatu ndio zilisababishwa mfungwe acheni zenu chezeni mpira
huwez kukojolea mke wa jirani yako.Magoli ya mazingaombwe mbona Kagera kashindwa kukujoa
Hata hapa tuliitana![]()
Simba wamemkatia rufaa mchezaji muhamed fakhi wakidai alicheza akiwa na kadi tatu za njano baada ya kupigwa miwa miwili kule kagera hivyo wanataka wapewe point 3.
Mechi imechezwa jumapili lkn wakatiwa rufaa wamejua wamekatiwa rufaa alhamisi tena kwa siri kuvuja sbb simba wakishirikiana kamati ya saa 72 ambayo imejaza watu wa simba na kila wakutanapo kufanya maamuzi yanayoihusu simba huitana wenyewe kwa kisingizio akidi imetimia na kila kunapokua na mahudhurio ya watu ambao sio simba mwenyekiti huahirisha kutoa maamuzi hata kama ukweli umebainika na wataendelea kupiga kalenda mpaka siku watakayofanikiwa kukutana watu wa simba pekee.
Kwa mujibu wa kocha wa kagera anakataa fakhi hana kadi tatu, mratibu wa kagera anakataa mchezaji mwenyewe anakataa na kuanisha mechi alizoadhibiwa kwa kadi za njano.
Sarakasi nyingine mechi simba wanayosema alipata kadi haikuonyeshwa hivyo mashahidi pekee ni maafisa walioisimamia wakati huo huo refa aliochezesha hiyo mechi ndio aliochezesha mechi simba wanayodai point.
Kubwa kuliko eti maamuzi yameshindwa kufanyika baada ya kuwahoji maafisa watatu waliosimamia hiyo mechi na kutofautiana hivyo wanataka kupata majibu ya afisa wa 4 ambae ni kamishina swali hawa watatu walipatijanaje huyu mmoja ashindwe kupatikana?
Hapa ndio rushwa inapoanzia huyu kamishina anaetakiwa ndio awe shahidi wa mwisho kupenyezewa mlungula tu.
Ajabu lingine kamati wanatuambia hakuna ripoti zozote wanazopeleka bodi ya ligi baada ya mechi? Zile ripoti wanazosemaga zinawasilishwa bodi baada ya mechi ni zipi kama zipo kwa nini zisitumike?
Rushwa nyingine anatoa malinzi kwa simba sbb simba ndio waliomuweka malinzi tff na bahati mbaya anamaliza muda bila simba kuwa bingwa huku akikabiliwa na uchaguzi, ili arudi tena tff lazima awape simba rushwa ya ubingwa sbb 80% kama si 90% ya wenyeviti wa mikoa ni simba zaidi ya 60% ya viongozi wa vilabu vingine vya vpl ni simba hivyo hakuna namna lazima awalambe miguu kwa rushwa ya ubingwa.
Kama mkijinadi kwa mbwembwe nyie mabingwa wa kutandaza soka basi chukueni ubingwa kwa kutandaza soka sio rushwa
Mfurukutwa wa soka......
Malinzi anajiandaa kuwapa SIMBA Ubingwa wa mezani.... Baada ya kuona uwanjani hawataweza...
Simba mnatia aibu
Wanalazimisha Ubingwa, watulie iwangie vizuri! Nonsense!
ChukuaUbingwa Ubingwa watupe hata kwakupora ..sheria itumike tupewe points 3
Amebeba makombe mangapi vile.??? .. Maana Tambwe kabeba lukuki..
mtaisoma namba simba ndo mabingwa![]()
Simba mnatia aibu kwakwel baña kwa hiyo hizo kadi tatu ndio zilisababishwa mfungwe acheni zenu chezeni mpira
Acha Unaaa.. Simba SC Taifa Kubwa
Ni kweli aisee...
Malinzi huwa anawazuia wachezaji wa simba kupata Mabao wawapo kwenye mechi...
Na ndio yeye anayetoa assist kwenye mechi za Yanga ambazo akina Msuva, Tambwe, Chirwa na wengineo wanafunga...
Na ndio yeye aliyesababisha hata Mbaraka Yusuph akapata Bao pale Kaitaba...
Bila kusahau lile bao la dakika za mwisho la Africa Lyon.... Ni yeye pia amesababisha...
Yaani huyu Malinzi ni tatizo kubwa sana kwa klabu ya simba kupata ubingwa.. Kwa kuwa Klabu yetu iwapo uwanjani unashindwa kupata matokea mazuri kwa sababu tu.. Malinzi ni Rais wa TFF...
Mkuu Umeanza kushabikia Mpira ukubwani?
Kwa hivyo Yanga akiwa na viporo vya mechci 5 inapelekeaje wachezaji wa simba kukosa nguvu za miguuni za kushinda mechi zao?
Una maanisha Yanga akiwa na kiporo inawaathiri wachezaji wa simba hata washindwe kufanya vyema kiwanjani?
hebu nisaidie kidogo! nashindwa kukuelewa mwenzangu....Hivi viporo vya klabu nyingine zinaathiri vipi perfomance ya timu yako? Au inakuwaje timu yako inashindwa kuhakikisha inashinda game zake zote mpaka ianze kuhamisha macho kwa jirani na kuanza kutathmini matokeo ya jirani...?