Simba ubingwa wa point za rushwa haunogi chezeni mpira

Mjasiria naona mapovu yanakutoka Kwa hiyo simba wamehonga marefa Na makamisaa wamwoshe kadi? Huna akili kabisa wewe tumia akili hata za paka
 
Simba mnatia aibu kwakwel baña kwa hiyo hizo kadi tatu ndio zilisababishwa mfungwe acheni zenu chezeni mpira
ivi ni kweli? alikuwa na kadi tatu??
 
Povuu linabubujika,umeongea weeeeeee nikitegemea utaweka facts kwamba mchezaji hana kadi 3
 
Simba ilipoifunga yanga goli 6-0,halaf ikamfunga 5-0,halaf 4-1 wakati WA siang'a yalikuwa magoli ya mezani?.
 
Hata hapa tuliitana
 

Hata tano bila yeye
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…