Simba UKAWA wapata ajali,watu watano wafariki

Simba UKAWA wapata ajali,watu watano wafariki

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Ajali gari ya Simba UKAWA yapata ajali na kuua..

Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa wale wanachama wa Simba UKAWA wamepata ajali wakiwa wanaelekea Shinyanga. Inasadikika zaidi ya watu watano wamefariki papo hapo.
======================


UPDATES
Taarifa mpya na za uhakika zinasema watuwatano (5) akiwemo kiongozi wa Simba Ukawa, Mohammed Kingolile ‘Ngumi Jiwe’ wamefariki dunia na watu 15 wapo mahututi.

Ajali hiyo imetokea eneo la Mvomero ikihusisha basi dogo aina ya Toyota Costa lililopinduka na kuacha njia.

Polisi bado hawajatoa tamko rasmi.

Waliotangulia mbele ya haki mpaka sasa ni:Waluya, Rehema, Ali Kingolile ‘Ngumi Jiwe’ Wabi na dereva wa gari Abdallah Fundi.
 

Attachments

  • IMG-20150404-WA0001.jpg
    IMG-20150404-WA0001.jpg
    78.9 KB · Views: 402
  • IMG-20150404-WA0002.jpg
    IMG-20150404-WA0002.jpg
    52.1 KB · Views: 362
  • IMG-20150404-WA0003.jpg
    IMG-20150404-WA0003.jpg
    130.1 KB · Views: 352
Hizi ajali bana! Mimi mwenyewe leo nimepata ajali Mwandege, Pwani gari limepinduka ila wote tumepona.

Pole yao.
 
E-Fm imetangaza kuwa mashabiki watano wamefariki maeneo ya Moro baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuelekea Shinyanga kupata ajali
 
Picha hizi
 

Attachments

  • 1428079058598.jpg
    1428079058598.jpg
    66.3 KB · Views: 5,470
  • 1428079090394.jpg
    1428079090394.jpg
    93.4 KB · Views: 5,137
  • 1428079142085.jpg
    1428079142085.jpg
    198.1 KB · Views: 5,048
Poleni sana watani, ktk hili tuwe pamoja na tuweke pembani utani wetu.
Mwenyezi Mungu awaponye majeruhi wa ajali na kuwapa pimziko la milele marehemu, pia moyo wa faraja kwa familia zao na club ya simba.


"Yanga bila Simba raha ya soka Tza haipo"
 
Taarifa zimethibitishwa na Mwandishi wa Habari wa Radio One na Itv Mkoani Morogoro Devota Minja kuwa watu wanne wamefariki hapo hapo.
 
Sasa Inasemekana Siyo Watu Watano Bali Wamefikia Watu Tisa Na Kubwa Zaidi Kiongozi Wao Aitwae Ngumi Jiwe Nae Hatunae Tena Duniani.
 
RIP jamaa,ni njia yetu sote ila wao wametangulia.
 
Kuna mtu aliiona mbezi ikipita,anasema dereva alikuwa akiendesha speed sana na kuovatek hovyo Uku watu ndani ya gari wakishangilia na kupiga kidedea
 
Back
Top Bottom