Simba UKAWA wapata ajali,watu watano wafariki

Simba UKAWA wapata ajali,watu watano wafariki

Eneo husika ni baya sana hasa dereva akiwa spidi over 80 barabara ina minundu last week karibu Tupinduke pia hapo nikielekea Dodoma.
 
Kuna mtu aliiona mbezi ikipita,anasema dereva alikuwa akiendesha speed sana na kuovatek hovyo Uku watu ndani ya gari wakishangilia na kupiga kidedea

hizi ajali nyingi chanzo Ni uzembe Wa Dereva..
 
Back
Top Bottom