Simba umeondokaa leo kwenda kuweka kambi

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Ila kinachonishangaza nikumuona kagere na mugulu natamani mmoja abaki mwengine aende ila wote wapo labda kocha anaitaji kuwaona kabla haja fanya maamuzi
 
Hapo ndipo niliposhangaa na mimi, sijui wamewabeba kina Kagere na Mugalu wa kazi gani.

Anyway, naona pesa ya kuwalipa mishahara ya bure ipo tofauti na uto wanaodai Simba SC wana hali mbaya.
 
Mshahara wa bure wa hao wastaafu na kusajili mchezaji mpya na kumlipa mamilioni kipi kina unafuu?
 
Hapo ndipo niliposhangaa na mimi, sijui wamewabeba kina Kagere na Mugalu wa kazi gani.

Anyway, naona pesa ya kuwalipa mishahara ya bure ipo tofauti na uto wanaodai Simba SC wana hali mbaya.
Kagere na mugalu bado wana mikataba ya mwaka mzima Simba. Ulitaka waagwe kikatili kama kaseke na Balama walivyoagiwa twitter?
Kuwalipa kwa kuvunja mkataba ni gharama kuliko kuwalipa mshahara.
Isitoshe Kagere alikuwa na Goli 6 kwenye ligi na alicheza muda mchache sana. Mugalu alikuwa majeruhi muda mwingi wa ligi.
Kwa kocha mwenye akili hawezi kumuacha Kagere hata kidogo. Kwa kocha anayejua mpira atajua namna sahihi ya kumtumia Mugalu kimataifa.
 
Kagere alikuwa na goli Saba (7) na sio sita (6).....!! Umeongea fact mkuu
 
Yote tisa kumi Mugalu, huyu kama akibaki ntaamini wacongo ni wachawi kupita maelezo.
 
Kagere na mugalu bado wana mikataba ya mwaka mzima Simba. Ulitaka waagwe kikatili kama kaseke na Balama walivyoagiwa twitter?
Kuwalipa kwa kuvunja mkataba ni gharama kuliko kuwalipa mshahara.
Isitoshe Kagere alikuwa na Goli 6 kwenye ligi na alicheza muda mchache sana. Mugalu alikuwa majeruhi muda mwingi wa ligi.
Kwa kocha mwenye akili hawezi kumuacha Kagere hata kidogo. Kwa kocha anayejua mpira atajua namna sahihi ya kumtumia Mugalu kimataifa.

Endeleeni kuchanganya professionalism na utu
 
Back
Top Bottom