Simba uwanja huu hapa

chapashuka

Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
10
Reaction score
24
Mambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake

1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10
2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa miaka 3 - 10
3. Harambee mikoa yote Tanzania target M. 100 - 500
4. Michango ya Wanachama na wapenz wa timu
5. Mnada vitu mbalimbali vya simba , Jezi ya King kibaden , hussein Masha ,Matola etc
6. Kutoa motisha wale waliochangia kiasi kikubwa mf certifacate
7. Pesa ya maana ni kuweka sokoni Jina la Uwanja kwa mkataba wa miaka 3 - 10, mf, Chapashuka Stadium

NGUVU MOJA
 
NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Yan nawew unauliza swali ambalo limepwaya hivi mnatakiwa muunge mkono kinachofanyika s nyia mnapayuka Yan hivi vilabu vikubwa mpaka Leo havina viwanja acha simba aoneshe njia penye Nia pana njia
 
Yan nawew unauliza swali ambalo limepwaya hivi mnatakiwa muunge mkono kinachofanyika s nyia mnapayuka Yan hivi vilabu vikubwa mpaka Leo havina viwanja acha simba aoneshe njia penye Nia pana njia
SUALA LA UJENZI WA UWANJA SIO RAHISI KAMA INAVYOWEZEKANA, SIO KUKURUPUKA KISA TU BIBIE KANYIMWA SITI PALE VVIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…