Simba uwanja huu hapa

Simba uwanja huu hapa

Simba wangeingia contract ata na kampuni wakapewa mkopo au wakajengewa uwanja. Uwanja ukawa named kwa jina la kampuni kwa kipindi cha muda fulani.

Au waingie mkataba na kampuni mfano benki ikawapa mkopo au katika kila mauzo ya tiketi zao watachukua asilimia kadhaa kwa kipindi cha muda fulani.
 
SUALA LA UJENZI WA UWANJA SIO RAHISI KAMA INAVYOWEZEKANA, SIO KUKURUPUKA KISA TU BIBIE KANYIMWA SITI PALE VVIP
Hizo hasira ndo znahitajika ukiwa umepanga au ukiwa unaishi kwa ndugu ukinyanyasika unapata morali ya kujenga yakwako, swala la kujenga na ujenzi wowote n mgumu ila mkuu usizan uwanja huwa unajengwa mwanzo mwisho hapana unajengwa kwa awamu hata makanisa yanajengwa kwa awamu tena kwa michango hata nyumba za kawaida znajengwa kwa awamu
 
Santiago bernabeu, stamford bridge
MMMMMMH AISEEE

Chelsea Pitch Owners (“CPO”) are a non-profit organisation which is part of the Chelsea Football Club that owns the freehold and upkeep the home ground of Chelsea Football Club.
 
Hizo hasira ndo znahitajika ukiwa umepanga au ukiwa unaishi kwa ndugu ukinyanyasika unapata morali ya kujenga yakwako, swala la kujenga na ujenzi wowote n mgumu ila mkuu usizan uwanja huwa unajengwa mwanzo mwisho hapana unajengwa kwa awamu hata makanisa yanajengwa kwa awamu tena kwa michango hata nyumba za kawaida znajengwa kwa awamu
Sawa mkuu kazi kwenu watani kwa donee mtafika
 
Sijui watu wa Yanga watajisikiaje siku hili likifanikiwa au likionyesha dalili za kufanikiwa?
Niamin mm ingawa walio wengi Wana beza lakin ipo siku hapa hapa Wana yanga watakuja kwa aibu .

Na ipo siku Hawa Hawa Wana yanga watashinikiza uongozi wao ili wafanye Kama ilivyofanya Simba.

Hasira sometimes zinasaidia kukufanya uondokane na manyanyaso, hasira za maendeleo Ni Bora zaidi , Mungu ndie hupanga Kila kitu ,hii Hali kwa upande wa Simba Ni mungu tu ameamua litokee kwa style hii na litafanikiwa.

Simba sio wajinga kwamba hawajui kinachofanyika ,Simba sio wazembe kias hicho kwamba wamekurupuka na hawajui Ni namna gan wataweza kupata hizo B.30.

Mudautaongea tu na najua Kuna vyura hapa hapa jamvin aibu itawajia tu japo sio leo Wala kesho Ila Kuna vyura watakiri juhudi hizi na kutaka ku copy.

Watu Wana Jenga sabab ya manyanyoso ya nyumba za kupanga ,mtu atafanya kila namna ili ajenge hata vyumba viwil tu ,why Simba ishindwe yenye watu wengi wa kupush mchongo?
 
Mmambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake

1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10
2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa miaka 3 - 10
3. Harambee mikoa yote Tanzania target M. 100 - 500
4. Michango ya Wanachama na wapenz wa timu
5. Mnada vitu mbalimbali vya simba , Jezi ya King kibaden , hussein Masha ,Matola etc
6. Kutoa motisha wale waliochangia kiasi kikubwa mf certifacate
7. Pesa ya maana ni kuweka sokoni Jina la Uwanja kwa mkataba wa miaka 3 - 10, mf, Chapashuka Stadium

NGUVU MOJA
Omba omba Fc, mnataka kuwachangisha watanzania ili Babra aweze kuingia uwanjani bila kufuata taratibu husika.
 
NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Nadhani baada ya kuweka neno "kulikoendelea" ilitakiwa uishie hapo hapo. Ukisoma vizuri swali lako unapata jibu mujarabu
 
Simba ni Next Level, Msisahau kuweka viti pembeni ya VVIP kwa ajili ya watoto wa waalikwa na Madereva wao waliowasindikiza kuja hapo uwanjani. Hivyo kuwe na Dabo VVIP

Pia wanaochangia zaidi ya Laki mbili. Wapewe ofa/ Card maalum zitakazowasaidi kuingia uwanjani Bure walau mechi kumi za Simba.
 
Simba ni Next Level, Msisahau kuweka viti pembeni ya VVIP kwa ajili ya watoto wa waalikwa na Madereva wao waliowasindikiza kuja hapo uwanjani. Hivyo kuwe na Dabo VVIP

Pia wanaochangia zaidi ya Laki mbili. Wapewe ofa/ Card maalum zitakazowasaidi kuingia uwanjani Bure walau mechi kumi za Simba.
oya amka huko ndotoni
 
Sijui. Ila tu nakuswalika kwamba ni lazima kila jambo jema lianzie huko ulaya?
sio lazima but inabidi tujifunze kwa walioendelea, walianzaje wakafanikiwa.. sijabeza mfumo wa simba kuchangishana ila najaribu kulinganisha na gharama kuu za ujenzi wa uwanja
 
Back
Top Bottom