NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ushasema Ulaya,uko washajitosheleza kilakitu.acha kifanyike kinachowezekana iwe kuingia mkataba ama vinginevyo mpaka mwisho wa siku malengo yatatimia.NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
SAFI SANAUshasema Ulaya,uko washajitosheleza kilakitu.acha kifanyike kinachowezekana iwe kuingia mkataba ama vinginevyo mpaka mwisho wa siku malengo yatatimia.
Hizo hasira ndo znahitajika ukiwa umepanga au ukiwa unaishi kwa ndugu ukinyanyasika unapata morali ya kujenga yakwako, swala la kujenga na ujenzi wowote n mgumu ila mkuu usizan uwanja huwa unajengwa mwanzo mwisho hapana unajengwa kwa awamu hata makanisa yanajengwa kwa awamu tena kwa michango hata nyumba za kawaida znajengwa kwa awamuSUALA LA UJENZI WA UWANJA SIO RAHISI KAMA INAVYOWEZEKANA, SIO KUKURUPUKA KISA TU BIBIE KANYIMWA SITI PALE VVIP
Changia kwanza then utapatiwa majinaLETE MAJINA YA CLUB
Santiago bernabeu, stamford bridgeNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
BarcelonaNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
MMMMMMH AISEEESantiago bernabeu, stamford bridge
DUH HAYABarcelona
MIMI NA SIMBA WAPI NA WAPI SASA?Changia kwanza then utapatiwa majina
Sawa mkuu kazi kwenu watani kwa donee mtafikaHizo hasira ndo znahitajika ukiwa umepanga au ukiwa unaishi kwa ndugu ukinyanyasika unapata morali ya kujenga yakwako, swala la kujenga na ujenzi wowote n mgumu ila mkuu usizan uwanja huwa unajengwa mwanzo mwisho hapana unajengwa kwa awamu hata makanisa yanajengwa kwa awamu tena kwa michango hata nyumba za kawaida znajengwa kwa awamu
Na kuna Team kubwa tu zinashiliki ata champion league ila amiliki kiwanja chakeNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Omba omba Fc, mnataka kuwachangisha watanzania ili Babra aweze kuingia uwanjani bila kufuata taratibu husika.Mmambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake
1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10
2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa miaka 3 - 10
3. Harambee mikoa yote Tanzania target M. 100 - 500
4. Michango ya Wanachama na wapenz wa timu
5. Mnada vitu mbalimbali vya simba , Jezi ya King kibaden , hussein Masha ,Matola etc
6. Kutoa motisha wale waliochangia kiasi kikubwa mf certifacate
7. Pesa ya maana ni kuweka sokoni Jina la Uwanja kwa mkataba wa miaka 3 - 10, mf, Chapashuka Stadium
NGUVU MOJA
Sijui. Ila tu nakuswalika kwamba ni lazima kila jambo jema lianzie huko ulaya?NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Nadhani baada ya kuweka neno "kulikoendelea" ilitakiwa uishie hapo hapo. Ukisoma vizuri swali lako unapata jibu mujarabuNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
hahahahahaNadhani baada ya kuweka neno "kulikoendelea" ilitakiwa uishie hapo hapo. Ukisoma vizuri swali lako unapata jibu mujarabu
oya amka huko ndotoniSimba ni Next Level, Msisahau kuweka viti pembeni ya VVIP kwa ajili ya watoto wa waalikwa na Madereva wao waliowasindikiza kuja hapo uwanjani. Hivyo kuwe na Dabo VVIP
Pia wanaochangia zaidi ya Laki mbili. Wapewe ofa/ Card maalum zitakazowasaidi kuingia uwanjani Bure walau mechi kumi za Simba.
sio lazima but inabidi tujifunze kwa walioendelea, walianzaje wakafanikiwa.. sijabeza mfumo wa simba kuchangishana ila najaribu kulinganisha na gharama kuu za ujenzi wa uwanjaSijui. Ila tu nakuswalika kwamba ni lazima kila jambo jema lianzie huko ulaya?