Simba uwanja huu hapa

Simba uwanja huu hapa

Sijui watu wa Yanga watajisikiaje siku hili likifanikiwa au likionyesha dalili za kufanikiwa?
Niamin mm ingawa walio wengi Wana beza lakin ipo siku hapa hapa Wana yanga watakuja kwa aibu .

Na ipo siku Hawa Hawa Wana yanga watashinikiza uongozi wao ili wafanye Kama ilivyofanya Simba.

Hasira sometimes zinasaidia kukufanya uondokane na manyanyaso, hasira za maendeleo Ni Bora zaidi , Mungu ndie hupanga Kila kitu ,hii Hali kwa upande wa Simba Ni mungu tu ameamua litokee kwa style hii na litafanikiwa.

Simba sio wajinga kwamba hawajui kinachofanyika ,Simba sio wazembe kias hicho kwamba wamekurupuka na hawajui Ni namna gan wataweza kupata hizo B.30.

Mudautaongea tu na najua Kuna vyura hapa hapa jamvin aibu itawajia tu japo sio leo Wala kesho Ila Kuna vyura watakiri juhudi hizi na kutaka ku copy.

Watu Wana Jenga sabab ya manyanyoso ya nyumba za kupanga ,mtu atafanya kila namna ili ajenge hata vyumba viwil tu ,why Simba ishindwe yenye watu wengi wa kupush mchongo?
Mmefikia wap
 
Back
Top Bottom