Simba v/s Yanga (Live TBC1)

Simba v/s Yanga (Live TBC1)

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Simba 1 - 0 Yanga (Musa Mgosi)

Kombe la Mapinduzi. Uwanja wa Amani.
 
hivi yule refa ile miguu yake au ya mwanae?
 
2-0, shija mkina kawainua wapenzi wa mnyama
 
Mkuu dk ya ngapi sasa..?

Eti yule fisadi Manji walisema katoa 50M ili kummaliza mnyama.. wakati players wanalia njaa na kocha wao pia. Bongo bana, kila kitu ufisadi na kuchakachua tuuu hata ktk mpira
 
hawa wetu leo

images
 
Hivi ni wachezaji wa timu B ndo wanacheza leo au first 11s
 
Back
Top Bottom