Simba vibabu vipotoshaji

Simba vibabu vipotoshaji

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,796
Reaction score
2,367
Simba imekuwa timu yanye wazee wenye waijukuu wengi, simba imekuwa timu moja wapo inayopotosha soka la tanzania kwa kujinadi kuwa ndiyo timu bora ukanda haswa wa africa ya mashariku lakini ndivyo sivyo.

Pia simba imekuwa ni timu inayoshabikiwa sana na mashabiki walio na utimamu mdogo wa welevu, hapa nawazungumzia mashabiki wa simba ambao ukiwatizama kwa undani wengi akili zao hazi sawa ipo hivi.

Timu ambayo haina malengo yeyote kwenye soka la kimataifa inafahamika tu, timu hii imezoea mkimbizano na ngonjera za mashabiki wao ambao ni akili spana mkononi, timu yenye malengo ni ile katika mashindano inapokuwa kwenye hatu za kinyang'anyiro baasi angalau iwe na mwelekeo fulani wa kuwania kikombe basi hata wacheze final, ambapo kwa wazee wa simba final ni ndoto wao ni kila round ya mtoano wanabamizwa, hili limekuwa ni mazoea ambayo mazoea hayo pia ni ya kubahatisha bahatisha.

Simba ni vizee vye waijukuu vinavyozolotesha soka la tanzania kuna vijana walipata nafasi ya kucheza shirikisho walitembeza vipigo mpaka fainali,hawa wazee ifike mahala wapumzike na mashabiki zao spana mkononi

IKIUMA CHOMOAA..
 
Mmeshinda sasa
 
Aisee watakutukana mpaka ujute kuingia kwenye anga zao. Kuna msukule mmoja wa Haji Manara utashangaa unakuja na picha yake aliyojishika kichwa, na utakuambia wenye akili kule ni wawili tu!
 
Simba imekuwa timu yanye wazee wenye waijukuu wengi, simba imekuwa timu moja wapo inayopotosha soka la tanzania kwa kujinadi kuwa ndiyo timu bora ukanda haswa wa africa ya mashariku lakini ndivyo sivyo.

Pia simba imekuwa ni timu inayoshabikiwa sana na mashabiki walio na utimamu mdogo wa welevu, hapa nawazungumzia mashabiki wa simba ambao ukiwatizama kwa undani wengi akili zao hazi sawa ipo hivi.

Timu ambayo haina malengo yeyote kwenye soka la kimataifa inafahamika tu, timu hii imezoea mkimbizano na ngonjera za mashabiki wao ambao ni akili spana mkononi, timu yenye malengo ni ile katika mashindano inapokuwa kwenye hatu za kinyang'anyiro baasi angalau iwe na mwelekeo fulani wa kuwania kikombe basi hata wacheze final, ambapo kwa wazee wa simba final ni ndoto wao ni kila round ya mtoano wanabamizwa, hili limekuwa ni mazoea ambayo mazoea hayo pia ni ya kubahatisha bahatisha.

Simba ni vizee vye waijukuu vinavyozolotesha soka la tanzania kuna vijana walipata nafasi ya kucheza shirikisho walitembeza vipigo mpaka fainali,hawa wazee ifike mahala wapumzike na mashabiki zao spana mkononi

IKIUMA CHOMOAA..
KUANDIKA KWAKO SHIDA. VP KICHWANI?
 
Ujinga, wivu na chuki ni nguzo kuu za uchawi.
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
IMG_8024.jpeg

YANGA ni timu yenye Mashabiki WAPUMBAVU.

YANGA Ina mashabiki Wasioenda shule.

YANGA Ina mashabiki Wajinga.

🙏
 
Mchang'ombe katika ubora wako baada ya kushiba mihogo. Mashabiki wa yanga luka eymeili alidai nyie ni mbwa, sokwe na manyani.
 
HUJUI KUANDIKA.

Waijukiuu❌= wajukuu
Mashuruku❌= mashariki
Hazi. ❌ = Hazipo
Zolotedha❌. = Dhorotesha.
 
Simba imekuwa timu yanye wazee wenye waijukuu wengi, simba imekuwa timu moja wapo inayopotosha soka la tanzania kwa kujinadi kuwa ndiyo timu bora ukanda haswa wa africa ya mashariku lakini ndivyo sivyo.

Pia simba imekuwa ni timu inayoshabikiwa sana na mashabiki walio na utimamu mdogo wa welevu, hapa nawazungumzia mashabiki wa simba ambao ukiwatizama kwa undani wengi akili zao hazi sawa ipo hivi.

Timu ambayo haina malengo yeyote kwenye soka la kimataifa inafahamika tu, timu hii imezoea mkimbizano na ngonjera za mashabiki wao ambao ni akili spana mkononi, timu yenye malengo ni ile katika mashindano inapokuwa kwenye hatu za kinyang'anyiro baasi angalau iwe na mwelekeo fulani wa kuwania kikombe basi hata wacheze final, ambapo kwa wazee wa simba final ni ndoto wao ni kila round ya mtoano wanabamizwa, hili limekuwa ni mazoea ambayo mazoea hayo pia ni ya kubahatisha bahatisha.

Simba ni vizee vye waijukuu vinavyozolotesha soka la tanzania kuna vijana walipata nafasi ya kucheza shirikisho walitembeza vipigo mpaka fainali,hawa wazee ifike mahala wapumzike na mashabiki zao spana mkononi

IKIUMA CHOMOAA..
Yanga VIBIBI VICHAWI
 
Hahahaha 🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa......
 
Back
Top Bottom