SIMBA vs ASEC Mechi yakufunga/kufungua msimu wa Simba

SIMBA vs ASEC Mechi yakufunga/kufungua msimu wa Simba

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Habari.

Jumamosi Novemba 25 pale Benjamin Mkapa stadiamu itapigwa mechi kati ya Simba vs Asec.

Iwapo Simba watapoteza mechi hii, basi msimu huu mambo yatakua yameharibika na kuisha kabisa (kutatokea makundi ndani na nje ya timu)

Simba wajitahidi sana kushinda hii mechi kwani itawaleta viongozi, mashabiki na wachezaji pamoja (kua na mshikamano -Nguvu Moja)

Mechi hii ni ya kuamua hatima ya msimu mzima wa 23/24.
 
Back
Top Bottom