Simba Vs ASEC mimosa

Simba Vs ASEC mimosa

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wakuu, Match ya leo ni saa ngapi Kwa saa za Tanzania? Maana mtandao unaonesha saa 19:00 na TBC Jana walisema unaanza saa 10 za kule ambapo Kwa Tanzania ni saa 11:00 jioni

Je Kuna mwenye Muda sahihi?
 
20220320_14231628643.jpg

inategemea upo pande zipi
 
Naona itakuwa ni saa moja kamili za usiku.
 
Wakuu, Match ya leo ni saa ngapi Kwa saa za Tanzania? Maana mtandao unaonesha saa 19:00 na TBC Jana walisema unaanza saa 10 za kule ambapo Kwa Tanzania ni saa 11:00 jioni

Je Kuna mwenye Muda sahihi?
Asec mimosas 3-1 simba

Kama mnabisha njooni mnipige nipo hapa club Laroca kawe
 
Back
Top Bottom