kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Watu 7,000 hata uwanja wa shule hautakiwi kuwa hivyo.Sifa kuu ya uwanja ni pitch na uzio kwa usalama wa wachezaji, hakuna sehemu yoyote duniani ambapo capacity ya uwanja ni kigezo cha kupima ubora wa uwanja kwa ajili ya michuano.
TFF wamefanya maamuzi bora sana. Uwanja ukijaa the rest wataangalia kwenye tv.
Mbona mechi za kimataifa za Taifa Stars zimechezwa hapo? Acheni siasa kwenye Soka, Barcelona wana uwanja wa kuingiza watu 75,000 lakini wanaenda kucheza na timu zenye uwanja wa kuingiza watu 8,000 mpka 10,000. Tafuta taarifa uone kama timu zote za ulaya wana viwanja vikubwa.Watu 7,000 hata uwanja wa shule hautakiwi kuwa hivyo.
Ni dhihaka.
Mbona mechi za kimataifa za Taifa Stars zimechezwa hapo? Acheni siasa kwenye Soka, Barcelona wana uwanja wa kuingiza watu 75,000 lakini wanaenda kucheza na timu zenye uwanja wa kuingiza watu 8,000 mpka 10,000. Tafuta taarifa uone kama timu zote za ulaya wana viwanja vikubwa.
Timu zenu za simba na yanga wanao hata huo? Au waje wacheze kwenye lile pori bunju na bwawa la lile la jangwani?Siasa ni kung'anganiza kwamba uwanja wa watu 7,000 ambao hautoshihata kufanyia fainali za UMISHUMTA ni sawakwa timu yenye jina kubwa kama Azam.
Tataizo kubwa kabisa lililosababisha uwanja kuwa na capacity ndogo hivyoni lipi?
Bora hata wangesema watu 15,000.
Nani timu yake Simba au Yanga?Timu zenu za simba na yanga wanao hata huo? Au waje wacheze kwenye lile pori bunju na bwawa la lile la jangwani?
Naona limekupata sawasawa!!!! Tulia dawa ikuingieNani timu yake Simba au Yanga?
Unajishebedua tu kuagua siyo?
Umenipata wapi wakati unayehitaji dawa ni wewe mwenye ugonjwa wa kuzusha mambo.Naona limekupata sawasawa!!!! Tulia dawa ikuingie
Nimekusoma mkuuKwani ww ulitaka washabiki wa Simba na Yanga waje wote kwan washabiki wa hizo tim huwa wanaingia wote uwanjani?
Muhimu hapo simba/yanga watacheza tu hapo Azam complex,ili nao wapate mapato ya uwanjani.
Simba na Yanga watashawishika nao kuona ni wakt wao nao kujenga viwanja vyao.
Tazama simba na yanga hawana uwanja hapo wanakosa mapato ya uwanja wao,pili simba na yanga watakapokuwa na uwanja watapata hata mapato ktk kodisha maduka yaliyopo hapo ktk mzunguko wa uwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi.Mtibwa nao wakomae simba na Yanga waende manungu badala ya mechi zao kuchezewa Jamhuri! Kama ni suala la 'pitch' hata ya manungu ipo vizuri!
Sent using Jamii Forums mobile app