PROSPER 05
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 226
- 217
Mtibwa(Manungu), Ruvu(Mabatini), na Mwadui(Mwadui Complex) viwanja vyao havina Majukwaa, Wakijenga, Msimu ujao Simba na Yanga wataenda kucheza, wasipojenga Mwaka huu basi msimu ujao hawatoruhusiwa kutumia viwanja hivyo hata kwa mechi ndogo. hii ni kwa mujibu wa TFFMtibwa nao wakomae simba na Yanga waende manungu badala ya mechi zao kuchezewa Jamhuri! Kama ni suala la 'pitch' hata ya manungu ipo vizuri!
Sent using Jamii Forums mobile app